Re: Wanawake acheni kuvaa mawigi

Re: Wanawake acheni kuvaa mawigi

mzee wa magumashi

Senior Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
137
Reaction score
44
Mwanamke anapendeza na kuvutia zaidi anapokuwa na nywele zake za asili wala sio mawigi. Hiyo ni FACT.

Mawigi yanaboa na yanatupunguzia hisia, mfano pale mwanaume unavyozishika au kujaribu kuzichezea halafu unajua kabisa hizi nywele sio.

Ni kama likofia fulani hivi linalovaliwa au kushonwa kichwani kwa mwanamke, ambayo pamoja na kwamba KIUHALISIA halimuongezei mwanamke mvuto (hata kama ni la Laki Moja), linatakiwa libadilishwe kila baada ya muda fulani.

Wanawake bakini na nywele zenu za asili, zipeni matunzo na usafi wala hamna haja ya kuhangaika na kubadilisha mawigi maana wanaume {99.99%} hatuzipendi. Zinaboa hata kuangalia.

Cha kushangaza, utamkuta mwanamke wa kibongo eti naye anahangaika kuweka liwigi lake vizuri kanakwamba linamzuia kuona vizuri wakati ni FAKE HAIR na yeye mwenyewe kaliweka hivyo kwa makusudi kuiga Wazungu.

S
 
Wee mzee vipi!! Hayo ni manjonjo ya kutuvutia zaidi!!
 
Umesema UKWELI. Mawigi ni uwongo na udanganyifu wa kupitiliza.
 
Ni kweli nimepokea ushauri wako na nitaacha kuvaa, lakini hili ni jukwaa la siasa hii mada imepotea njia
 
Back
Top Bottom