ukipitia thread nyingi hapa JF wachaga wamepondwa sana,sasa kuja kutaka ushauri humu JF kuhusu wachaga sijui unategemea nini?? au kesi ya nyani hakimu fisi????
in short tunakata viuno kama pangaboi kushinda wamakonde!!!!
pili hakuna anayetufikia kwa upishi,biryani pilau sijui catelesi hata wahindi hawaoni ndani.....lol,kwa kifupi TUKO JUU MWANAWANE!!!!!!:coffee:
@susy we ndo huwajui mana u may thnk unajua kumbe zerobest hujawajua wachaga vizuri!! unaona kama unakufanya uwe mchumi mwenzio ana lake kichwani, ni bora ukatumia hekima zaidi juu ya jambo hili!! kuwa makini kakaaaaaaaaaaa i know them very well yooooooo

Keleuiiiii!!
Hivi wachagga nao wana viuno kumbe? Mi nimezoea kuwaona wengi wao wakinamama wana vitambi na makalio ya kihindi. Nenda soko la kiboriloni au soko kuu Arusha utawaona. Lakini meku wanajua kuisaka leri. We acha tu!
Huyo mchaga ni wa wapi kishmunndu, Rombo au pale wanapopaita pakistan ?Bwana asifi
jamni leo najito kimasomaso kila mara huwa naona humu wanongelewa wachaga lakini sijawahi kusoma na mimi napendana na binti wa kichaga na nampango wakumuoa kabisa sasa hebu nijuzeni nini hasa ubaya wao nauzuri wao nataka jua nimekaa na mpenzi wangu sijaona kitu kibaya na kizuri zaid nilchokiona ni Inkonomi sana mwanzo tulikuwa tukienda kula sehm kubwa baadae ikawa hataki twende huko natunaenda sehem za kawida na beirahisi kanifundisha kuwa mchumi na sio mkubwa mpaka vile bado msijana mdogo ndo kwanza ana22 naomba ukweli japokuwa kutakuwa na wasi kwa bazi ya watu lakini haitokuwa sababu ya kutomuoa vidole havipo sawa
Bwana asifi

best hujawajua wachaga vizuri!! unaona kama unakufanya uwe mchumi mwenzio ana lake kichwani, ni bora ukatumia hekima zaidi juu ya jambo hili!! kuwa makini kakaaaaaaaaaaa i know them very well yooooooo
kweli wanawake wa kichaga ni wazuri kwa miguu hapo sisemi kabisa maana hawana miguu kabisa