Re wachaga

ukipitia thread nyingi hapa JF wachaga wamepondwa sana,sasa kuja kutaka ushauri humu JF kuhusu wachaga sijui unategemea nini?? au kesi ya nyani hakimu fisi????

in short tunakata viuno kama pangaboi kushinda wamakonde!!!!

pili hakuna anayetufikia kwa upishi,biryani pilau sijui catelesi hata wahindi hawaoni ndani.....lol,kwa kifupi TUKO JUU MWANAWANE!!!!!!:coffee:

Keleuiiiii!!
Hivi wachagga nao wana viuno kumbe? Mi nimezoea kuwaona wengi wao wakinamama wana vitambi na makalio ya kihindi. Nenda soko la kiboriloni au soko kuu Arusha utawaona. Lakini meku wanajua kuisaka leri. We acha tu!
 
Kijana oa mke siyo kabila. Kwani kuna mtu alituma application azaliwe kabila gani? Hayo si matokeo tu ya baba na mama? Ila sote ni wa Mungu yule.
Usimkosee mwenzio.
 
best hujawajua wachaga vizuri!! unaona kama unakufanya uwe mchumi mwenzio ana lake kichwani, ni bora ukatumia hekima zaidi juu ya jambo hili!! kuwa makini kakaaaaaaaaaaa i know them very well yooooooo
@susy we ndo huwajui mana u may thnk unajua kumbe zero
 
Karibu kijana uchagani,pamoja na kuusiwa sana kuhusu ukabila,ila sisi ni watafutaji,waaminifu ni nadra sana kusikia wachaga wameachana,tunakomaa hata mambo yakiwa magumu tunaamini kila mtu ana mchango ili kuboresha familia.
Mshikamane na mtafanikiwa
 
Keleuiiiii!!
Hivi wachagga nao wana viuno kumbe? Mi nimezoea kuwaona wengi wao wakinamama wana vitambi na makalio ya kihindi. Nenda soko la kiboriloni au soko kuu Arusha utawaona. Lakini meku wanajua kuisaka leri. We acha tu!

kweli! Mi c mchaga ila nmekaa uchagan muda mrefu! Wana sura nzuri hata maumbo lakn, ki2 kimoja2 miguu ! Tafuta wachaga 1000 ni mmoja au wawili wana miguu minene weng wao wana miguu miyembamba ndo tatizo nliloliona
 
Kasoba mdogo wangu; umefanya la maana sana kutaka ushauri. Ushauri wangu kwako ni kwamba kuoa mchaga sio tatizo; tatizo mchaga mwenyewe asiwe mwanamke wa kimachame umekwisha ndugu yangu. Mwanamke wa kimachame muogope kama ukoma. Mchaga yeyote yule oa lakini wanawake wa kimachame (wapalestina) ni hatari. Usipozingatia ushauri huu utajuta maisha yako yote!!!!!!!!!!!!!!!
 
Bwana asifi
jamni leo najito kimasomaso kila mara huwa naona humu wanongelewa wachaga lakini sijawahi kusoma na mimi napendana na binti wa kichaga na nampango wakumuoa kabisa sasa hebu nijuzeni nini hasa ubaya wao nauzuri wao nataka jua nimekaa na mpenzi wangu sijaona kitu kibaya na kizuri zaid nilchokiona ni Inkonomi sana mwanzo tulikuwa tukienda kula sehm kubwa baadae ikawa hataki twende huko natunaenda sehem za kawida na beirahisi kanifundisha kuwa mchumi na sio mkubwa mpaka vile bado msijana mdogo ndo kwanza ana22 naomba ukweli japokuwa kutakuwa na wasi kwa bazi ya watu lakini haitokuwa sababu ya kutomuoa vidole havipo sawa
Huyo mchaga ni wa wapi kishmunndu, Rombo au pale wanapopaita pakistan ?
 
Bwana asifi
jamni leo najito kimasomaso kila mara huwa naona humu wanongelewa wachaga lakini sijawahi kusoma na mimi napendana na binti wa kichaga na nampango wakumuoa kabisa sasa hebu nijuzeni nini hasa ubaya wao nauzuri wao nataka jua nimekaa na mpenzi wangu sijaona kitu kibaya na kizuri zaid nilchokiona ni Inkonomi sana mwanzo tulikuwa tukienda kula sehm kubwa baadae ikawa hataki twende huko natunaenda sehem za kawida na beirahisi kanifundisha kuwa mchumi na sio mkubwa mpaka vile bado msijana mdogo ndo kwanza ana22 naomba ukweli japokuwa kutakuwa na wasi kwa bazi ya watu lakini haitokuwa sababu ya kutomuoa vidole havipo sawa

Wewe ndio utueleze ubaya na uzuri wao. Si tayari umeshakaa naye huyo. Sisi tutajuaje sasa.
 
kweli wanawake wa kichaga ni wazuri kwa miguu hapo sisemi kabisa maana hawana miguu kabisa
 
Tatizo letu Chagga people, ni wabaguzi kwa asiye mchagga, lakini mtushindanishe na muhindi au mwarabu mfurahi!!! pia kwa suala linalohusu pesa, lolote tunaweza kulifanya, hilo halina mjadala..
 
best hujawajua wachaga vizuri!! unaona kama unakufanya uwe mchumi mwenzio ana lake kichwani, ni bora ukatumia hekima zaidi juu ya jambo hili!! kuwa makini kakaaaaaaaaaaa i know them very well yooooooo

mh! susuy hapa kidogo unamtia shaka jamaaa af unamwaribia huyo dada.

Lakini pia jamani hivi hadi leo na dunia hii ya mwingiliano wa kiasi kikubwa hivi bado tunajadili kabila?
nikabila gani bai lisilokua na kasumba yake??
me nadhani tumwangalie mhuskia binafsi ambae hata hivyo kapew kredit kubwa na mwenzie.
sasa tukiangalia kabila tutaishia wapi??: wapwani ni malaya na wavivu, wachaga ni wezi, wanyamwezi malaya, wasukuma wanahamia na ndugu kwa mme, wahehe kiburi na hasira hata kujinyonga,........................
matokeo yake tutaacha kuoa hapa.
 
Karibu kilimanjaro nyumbani kwa nuhu.
Habari zilizochakachuliwa zinasema safina ya nuhu iltua ararat,lakini ukweli usio shaka ni kwamba ilitua mlima kilimanjaro na nuhu akawa ndiye mwanzilishi wa kabila hilo.
Ndio maana wanyama kabila zote wanapatikana maeneo ya kilimanjaro na arusha.
Mimi nakushauri uoe tu wala usiwe na shaka wamebarikiwa hao nakupitia yeye familia yako itabarikiwa.
 
Wachaga wana sifa alizonazo huyo mpenzi wako,kama umeridhika nazo oa tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom