Waheshimiwa wanaJF nataraji mnaendelea na majukumu yenu ya kiutendaji vizuri kabisa. Nahitaji michango yenu katika jambo hili: KAMA CHEO CHA UWAZIRI MKUU KINGEKUWA KINAPIGIWA KURA:
1. NANI KATI YA JOHN MAGUFULI NA MIZENGO PINDA ANGEWEZA KUCHAGULIWA KATIKA NAFASI HIYO
2. TOA VIGEZO VYAKO KWA HUYO ULIYEMCHAGUA
Natanguliza shukrani zangu kwa ushiri wako katika uatfiti huu