Habarini wanajamvi.
Naombeni tubadilishane mawazo ama kusaidiana inapobidi,.. Ni vp ninaweza ku unlock hii sim ya blackberry, previous network provider ilikuwa ni Bell Mobility U.S... nimejaribu kupitia gsm forum lakini naona bado haitatui tatizo, nina imani humu wapo great thinkers wenye uwezo wa kulitatua hili,.
Nawasilisha Maombi yangu.
Thanks in Advance.
Luvcyna
Nenda vodacom hapo unaweza kutumia kama BIS lakini mitandao mingine kama Aiirtel haifungukiNami nina tatizo kama hilo. Nina BB Storm II unlocked ya Verizon. Hapa Bongo nimeweza kuitumia kama Simu ya kawaida lakini Email service kupitia Blackberry haifanyi kazi. Nimejaribu mitandao yote. Naomba msaada
Ni possible mkuu, unaweza ukatoa hiyo software ukaload software mpya naukaweza kuitumia kwenye mitanadao yetu ya hapa bongo(kama upo bong). Ukiwa intersted na hii solution nitakuwekea maelezo yake zaidi
Nenda vodacom hapo unaweza kutumia kama BIS lakini mitandao mingine kama Aiirtel haifunguki
Iam interested Mkuu naomba msaada wako TafadhaliNi possible mkuu, unaweza ukatoa hiyo software ukaload software mpya naukaweza kuitumia kwenye mitanadao yetu ya hapa bongo(kama upo bong). Ukiwa intersted na hii solution nitakuwekea maelezo yake zaidi
Mkubwa katika mabandiko ya gsmforum software nyingi walizo upload ni za tangu 2008 na ukijaribu kuzifungua mfano from rapidshare unaambiwa they are no longer existed...eg. this one GSM-Forum - View Single Post - Download & Guide MFI Multiloader for blackberry unlock hapo utaona solution waliotoa ni ya kutumia MFI MULTILOADER setup ku unlock instead when you dont have the MEP codes or when U left with 0 trial in entering those codes.. and that is specifically my problem, i left with 0 attempt n i stil don knw the solution pliz help if U canToa link ya solushen gani za gsmforum ulizofanyia kazi ukashindwa. Inawezekana umejaribu right solution for the wrong problem
Nashukuru mkuu ila nadhani umenifananisha nadhani...ni kweli niliwahi kuomba msaada wa ku jailbreak iphone4 ila sikuwahi kumlaumu yeyote isipokuwa kushukuru kwani njia nilizopewa zililingana na uelewa wangu na nikafanikiwa. U might have confuse my ID Mkuu.. nathamini mchango wa wanajamvi kwani mara zote imekuwa na msaada mkubwa kwangu na nimefanikiwa katika mengi.. Nawashukuru tena kwa hilo.. ni kweli sina utaalam kivile ila naamini nina uwezo wa kupembua na ku implement guides ninazopewa na wataalam au kwa mwenye ujuzi na chochote japo kwa elimu ndogo ya IT niliyoipata as an option course wakati huo chuoni. thanksMkuu, kumbuka hii simu iko locked, kureload new OS haiku remove IT policy... Pia lazima tuelewe utaalam wa muhusika kabla ya kumpatia hizo Hizo njia za ku-unlock simu yake, maana kuna mda hapa jukwaani aliomba tumpe maelekezo ya namna ya ku-jailbreak Iphone yake, teh teh teh! ulimwagia maujanja mwisho wa siku aliibreak Iphone yake hadi leo anatulaumu eti tumemuulia simu yake, kumbe alikuwa anafanya kitu ambacho akijui! Pia Research In Motion, wamekuwa wanjanja sana siku hizi kuanzia matoleo yao ya 2008 kuja juu wameweka security kali sana ambazo,usipo kuwa makini unaweza ku-unlock BB yako na mwishowe ikawa na tatizo la network na ukashindwa kuitumia.
Nashukuru mkuu ila nadhani umenifananisha nadhani...ni kweli niliwahi kuomba msaada wa ku jailbreak iphone4 ila sikuwahi kumlaumu yeyote isipokuwa kushukuru kwani njia nilizopewa zililingana na uelewa wangu na nikafanikiwa. U might have confuse my ID Mkuu.. nathamini mchango wa wanajamvi kwani mara zote imekuwa na msaada mkubwa kwangu na nimefanikiwa katika mengi.. Nawashukuru tena kwa hilo.. ni kweli sina utaalam kivile ila naamini nina uwezo wa kupembua na ku implement guides ninazopewa na wataalam au kwa mwenye ujuzi na chochote japo kwa elimu ndogo ya IT niliyoipata as an option course wakati huo chuoni. thanks
Mkubwa katika mabandiko ya gsmforum software nyingi walizo upload ni za tangu 2008 na ukijaribu kuzifungua mfano from rapidshare unaambiwa they are no longer existed...eg. this one GSM-Forum - View Single Post - Download & Guide MFI Multiloader for blackberry unlock hapo utaona solution waliotoa ni ya kutumia MFI MULTILOADER setup ku unlock instead when you dont have the MEP codes or when U left with 0 trial in entering those codes.. and that is specifically my problem, i left with 0 attempt n i stil don knw the solution pliz help if U can
Mkuu, ni kweli kuwa hii software ni ya version 2.0 ya mwaka 2008 na haijawa upgrade hadi leo, hivyo BB za kuanzia mwaka 2008 kuja juu kufanikiwa kuzi unlock kwa hii software siyo rahisi. hii ni inafavya kazi vizuri kwenye simu za matoleo ya nyuma zaidi mfano series 81** hadi 88**haikuwai kufika 98** ambayo ndio series unayotumia... Nitarudi baadae na njia nzuri na rahisi zaidi, now niko barabarani naelekea Kigoma, nikifika nitaipandisha.
Wewe ndo umekula kona hivyo ulishakimbia kwenye thread ama hizi za BB kwa gia hizo hizo. Teh teh teh teh . Kyoma vipi bana nshomile hawana longolongo.
Any way elewa tunasuburi wengi hilo darasa. So usile kona this time.
Aaah Mkuu, umenichekesha sana, eti nilikimbia, unajua kwa nn sikurudi kwenye ile thread? sababu alliyehitaji utatuzi alikula kona,ndio akajitokeza uyule jamaa mbishi ambaye aliniponda mwishoe akaomba kusaidiwa, ndio maana nilikula kona kubwa kabisa.....Mimi siyo Kyomo bana, akina kiomo ni Mfianchi!
Nitarudi mkuu wangu usitie shaka.
Hilo tatizo la kwako inawezekana hujaiseti account yako inavyotakiwa jaribu kusoma hii thread utafanikiwa:Nami nina tatizo kama hilo. Nina BB Storm II unlocked ya Verizon. Hapa Bongo nimeweza kuitumia kama Simu ya kawaida lakini Email service kupitia Blackberry haifanyi kazi. Nimejaribu mitandao yote. Naomba msaada
Hebu tafadhali tupe maelezo zaidi, jee umeseti email akaunti sawa ? Kama umeiseti sawa jee unaweza kutuma email? ama huwezi tuma wala kupokea? Na inapokataa inakuja message gani? Simu yako ulivyonunua ilikuwa imesajiliwa na kampuni kutumia BES? jee unaweza kupiga na kupokea simu?