Re: Regal Concepts(T) LTD Ni kina nani?

The Priest

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,029
256
Jamani kuna kampuni inajiita regal concepts ltd nimeisikia kama kuna mtu anawajua tafadhali naomba details zao...
 
nimei-google lakini haieleweki vizuri,nisaidieni nisije ingia mkenge na hawa jamaa,coz wanataka kufanya kazi na mimi.
 
Back
Top Bottom