karibu, uweke na nukta kabisaaaaaa
karibu sana mkuu... naona umekuja na pumzi nyingi sana!
Welcome back mkuu....tuko salama kabisa....
Humu mambo yako sawia si mchezo we vuta subira wadau bado wamalizia makulaji ya pasaka utawaona baadae wamekuja kwa fujonukta tena mkuu?? si nitakuwa nimeKanumbishwa!??
pumzi ipo ndugu...tena sana! ila kikazi zaidi this time...
nashukuru kusikia ivo ndugu yangu...basi hiyo ndo furaha yangu!
mpaya je!??
nukta tena mkuu?? si nitakuwa nimeKanumbishwa!??
nukta tena mkuu?? si nitakuwa nimeKanumbishwa!??
pumzi ipo ndugu...tena sana! ila kikazi zaidi this time...
nashukuru kusikia ivo ndugu yangu...basi hiyo ndo furaha yangu!
mpaya je!??
kama ni hivyo pamoja sana mkuu!??
Sidhani kama ni msiba watakuwa wamenogewa tu siunajua weekend ilikuwa ndefu sana aiseeau ni msiba!?? maana nimekuwa nikijiuliza "Why?"
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/159209-naweka-koma-jf-leo.html
With reference to that post..ya 29th July 2011....niliaga hapa jukwaani kuwa ningepotea kwa muda kiasi! sikutarajia ingekuwa muda mrefu kiasi hiki (miezi nane na ushee)...ila sasa nimerudi!
Mabibi na mabwana, it feels gud to be back though kuna nyakati nilipata fursa ya kuandika na kupita hapa but sasa I am officially back.
I really missed u guys...and i hope wote mu wazima na salama..hakuna aliyetutoka.
Pamoja sana wandugu....tukutane around!