jibu lahisi:alitaka uone kakusave jina gani iliuhisi anakuvalue zaidi,hamna lolote,wizi mtupu!jaribu sikumoja uombe ghafla kama hato kunyima?Salaam!..
Nilicheat na mdada mzuri na mwenye uelewa kwa vigezo vyangu anyway_na hii ilikua wiki iliyopita,...sasa juzi kanipigia cm nimpitie ofisini kwake(ana duka la vipodozi).tukaenda sehemu kupata 1 moto 1 baridi ingawa yeye hatumii kileo,..akanipa simu yake eti nimshikie mpaka tutakapoagana.
Sasa ndipo nikaanza kuipekechua kuangalia kilichomo ingawa kwa uangalifu mkubwa asije akajua nafanya nini?...haa!..nikajagundua amenisevu eti "my husband",.....mmmmh!..sijamuuliza ingawa nimeshangaa kidogo kwani,anajua fika nina mpnz wangu ninayempenda ingawa nimemcheat.
My take:Je_hii ndio stail mpya badala ya ile ya baby,sweet,honey etc......au kuna maana ingine nyuma ya pazia?
Nb:msiniulize kwanini sijamuuliza

gold digger,.....mmmmmmh!...umenikumbusha ule wimbo wa kanye west
Mshiki hebu toa maelezo kidogo nini sifa ya bumunda?
wewe Meku, Preta na Nyamayao wote mabumunda mnayapata...lol
yalikuwa maarufu sana haya madude na zile ngubiti..
mabumunda hovyo sana, unakula hata hushibi, upepo mtupu, empty kabisaaaa
hehehe,bht huwajui majambazi wastaarabu eeh? hapo anamuibia tu ili amuone wa maana na anampenda kuliko mpenziwe ambaye keshamchosha i ajabu namba kaisave bila hata jina! na ndo maana kamuachia simu aone. nextime ataandika 'my king'. anakula na kipofu huyo,lol! (ndo maana nakuambia kila siku kamata manati uanze kumuwinda huyo mkaka wako,weeh unajidai mchaga! shauri yako)

zipi hizo kiongozi wangu.

Usiogope,..hii ni nguvu ya wakati mkuu

wewe Meku, Preta na Nyamayao wote mabumunda mnayapata...lol

yalikuwa maarufu sana haya madude na zile ngubiti..

mabumunda hovyo sana, unakula hata hushibi, upepo mtupu, empty kabisaaaa
wanaume akili zetu ndogo sana hasa linapokuja swala la mapenzi,mtu uniibiwa hapo unaoona kama umependwa,kwa hiyo kupewa simu na kukuta husband ndo unapeeeeendwa!pole weeee!
Salaam!..