Re: MMU

kwi kwiiiiiiiiiiiii...

Yetu macho na masikio lolz.. Wewe sie niliyeonaa mahali watafuta mchuchu.. Hahaaaaa



sent from my blackberry 9300 using jamiiforums
it wasn't me!
​
 
AshaDii, umepotea sana Alter I miss your threads, iwe huku au Chit Chat. Sometimes nasikitika ulikua JF woman of 2012 maana from hapo ndipo ulianza kupotea :A S 39: (I didn't vote for you!)

Haya sasa madongo ya wazi wazi haya! Lol. Hiyo WoY imesha hata expire alter alafu bado waninyasa nyasa? :eyeroll1: Will be back Love. I promise...

Nahisi namjua huyo lecturer... :A S 39:

I know you know who I know.... Ha ha ha! You have it right hun.
 
neggirl will try my best dear... I am humbled of your acknowledgement. Asante sana.
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri threads nyingi mpya zina-recycle threads zilizopita. Kuna wakati nakutana na thread mpya nikiisoma tuu najiuliza, hang on, nimeshachangia thread kama hii huko nyuma, kwa hiyo sina haja tena ya kuchangia hii.

Threads nyingi za siku hizi siyo za kufikirisha. Threads nyingi ni narrative. Threads nyingine zinauliza maswali ambayo either majibu yake yako so open or kuna jibu moja tuu (not debatable at all). Threads disaini ya zile za akina Mbu Lizzy MwanajamiiOne, AshaDii, nk hazionekani sana siku hizi. Hata Asprin sijui bia zimeshuka bei?

Lakini siyo wanaonzisha threads tuu, bali pia wachangiaji hasa wale ambao ni critical kama akina Michelle, nyumba kubwa (alipofariki Chavez nilikumbuka avatar yako), na mwingine alikuwa na avatar ya Mariah Carry nao hawapo tena mara kwa mara.

Hata hivyo, inabidi pia tukubali kuwa JF na hasa MMU inapanuka. Members wapya wanakuja na vitu vipya. Hawa members wana umri tofauti tofauti. Kwa hiyo Mrembo by Nature anaweza kuona thread fulani haina "urembo" wowote pale mtu kama Izzo G anaweza kutaka kujua "vipomo vya uume wa saizi ya kati yaani uwe na circumferance kiasi gani..na urefu kiasi gani... ili [a]jipime [fasta] kabka [ha]jafanya maamuzi magumu..."

Lakini watu kama Ruttashobolwa na BADILI TABIA wanaweza kuangua vicheko vya kufa mtu, huku Nicas Mtei na watu8 wakishindwa kabisa kumwelewa huyo Mkuu kutaka hivyo vipimo, Asnam akiishia kupiga yowe
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, wakati hapo hapo King'asti akitaka kujua kwanza vipimo vya Nicas Mtei, probably ili kufanya comparative analysis kabla ya kumpa jibu. Hizo ndizo twists and turns za MMU and we have to live with them whether you like them or not.

Lakini findings za kautafiti kangu kadogo zina reveal sababu nyingine. Baadhi watumiaji wakuu wa MMU hasa wale magwiji, the most critical ones, wale walio na extreme views, nk. either wameshawahi kukutana uso kwa uso au wamekuwa too close to each other the extent ya kutaka kudumisha mahusiano yao hata wakiwa ndani ya JF

Kwa hiyo, sometimes baadhi wanaona noma kumpa za uso mtu ambaye wanajuana nje ya JF hata kama anatofautiana nae kimawazo asije "akatekwa" bure. Matokeo yake anaishia kumwaga likes tuu au kutoa "friendly" comments kuepuka shari. Hawataki kupingana hadharani, na kama kuna haja ya kupingana watayamalizia kwa PM.

Kwa mfano, kila mara huwa namwambia snowhite sue somebody jamani. Hata kama ni gfsonwin sue her; liwalo na liwe. Lakini anaishia kusema oh subiri kidogo…. Unajua tena blah blah, ngoja kwanza nicheki na…… Yaani hana mana kabisa. Ndo maana nilikutosa live kwenye White Valentine Day ya Machi 14, 2013.

Najua sasa Mr Rocky atakuwa anafuta udenda kwa hii habari ya kuvunjika vunjika, ila Mamndenyi mie simo kabisaaa na sitaki kutekwa na kibabaji mie kisha kuvuliwa nguo zote halafu niende kituo kidogo cha polisi Kigogo nikiwa uchi wa mnyama kuchukua RB nikutane hapo na Erotica na Kaunga wakiwa front desk wamepiga visketi vyao vya blue na mashati meupe, viredio call vyao vikiwa masikioni wakilonga na Kongosho live MMU halafu eti wanataka kunichukua maelezo kwa nini nimetinga kituoni kwao nikiwa uchi. Khaa! Sana sana nitaishia kutoa hongo ya mapacha.
 
Last edited by a moderator:
Hilo la kufahamiana ndilo tatizo kubwa sana EMT ,watu wakishajuana hakuna tena kupingana kabisaaaa
'
Ndo maana mi nimeshasema hapa,kama hutaki nikukosoe au unikosoe,tusijuane!
'
Hakuna mpya hapa siku hizi,mkuu HorsePower ,my role model Mtambuzi ,babu Dark City ,mzee wa kiinglishi cha ajabu Kiranga ,mheshimiwa Mbu SnowBall ,mume mwenzangu Blaine ,mdogo wangu Mentor na muke yangu ya zamani Kaunga nyie ni moja ya watu ninaoipenda sana michango yenu hapa!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenifanya nicheke kipindi hiki cha kwaresma (Yesu hapendi). Hapo kwa red mkuu wangu, bia hazijashuka bei wala nini........... Tunakomaa hivyohivyo kuchangia pato la serikali yetu sikivu. Hata waongeze bei namna gani, tunachokifanya tunapunguza bajeti ya matumizi ya nyumbani na kuelekeza nguvu zetu kwenye pato la taifa. UTAIFA KWANZA bana!! Watoto wakipata kwashakoo, serikali yetu sikivu itawatibia bure.

BTW na wewe mwanasheria wetu ulipotelea wapi? Vijana wanataka misaada ya kisheria kunusuri mahusiano yao. Wamefikia kiwango cha kutaka kuvuianyia maamuzi magumu vikojoleo vyao, kisa? Size ya kati LOL
 
Hilo la kufahamiana ndilo tatizo kubwa sana EMT ,watu wakishajuana hakuna tena kupingana kabisaaaa
'
Ndo maana mi nimeshasema hapa,kama hutaki nikukosoe au unikosoe,tusijuane!
Watu tunajuana na tunapeana za uso kama kawaida. Wasiwasi wako tu mkuu wangu.
 
Watu tunajuana na tunapeana za uso kama kawaida. Wasiwasi wako tu mkuu wangu.

Babu nina uzoefu na hili,ukimbishia mtu hapa MMU,ukimpigia simu hapokei!Kazi kweli kweli!
 
BTW na wewe mwanasheria wetu ulipotelea wapi? Vijana wanataka misaada ya kisheria kunusuri mahusiano yao. Wamefikia kiwango cha kutaka kuvuianyia maamuzi magumu vikojoleo vyao, kisa? Size ya kati LOL

Siku hizi tumeendelea kiteknologia bana.

Wakati anafanya maamuzi yake magumu ajirekodi na kuyaweka YouTube, then we will it from there.
 
EMT, nadhani strategy ya jf kuongeza member kumefanya watu wengi wenye mitazamo tofauti kujiunga, kama vile jf inakuwa fesibukilized hivi.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT

hahaha. Sikuona kitu hii. Umeongea ukweli mtupu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…