Iv liz na ashadii wana id mupya???longtime.
kwel mmu changanyikeni mihogoni..ktk post sita mbili sifikishi au nachelewa ,mbili nimetendwa au natenda,mbili huyu demu au huy hawara...
Bora natalia,sijamckia nayeye kamuda kwel
Mrembo by Nature, naona niunge mkono maneno ya baba watoto Kaizer na ya NN hapo juu... Sasa unanifanya niende kwenye folders nitupie kitu... Lol.
I am humbled.
Fanya hima AshaDii, jukwaa limekaliwa na Yona edson sasa hivi, mada zake ukiziona utachoka
Utambulisho ndio kamba yenyewe dada!!!Kwani una kamba mguuni?
Ole wao waugeuzao usiku kuwa mchana
wengine wametendwa jf,wanaiona chungu hawarudi tena.
Fanya hima AshaDii, jukwaa limekaliwa na Yona edson sasa hivi, mada zake ukiziona utachoka
Kama unaona thread haina mashiko si lazima kuchangia. Wengi wa wanajamvi wameyageuza baadhi ya majukwaa mathalani MMU kama vijiwe vya kupiga soga badala ya kutoa ushauri, maoni, mitazamo n.k.
Kwa mantiki hiyo basi sahau kuwaona wanabodi kama AshaDii, SnowBall, watu8, Kaunga na wengineo wengi wakija mara kwa mara pande hii kutoa nasaha zao.
Shikamooni,
Ninajua mtabisha kama ilivyo kawaida yenu ila Niseme tu ukweli, hili jukwaa limefulia, kila nikifungua sioni la zaidi sana sana ni watu wanalia lia tu kwamba wametendwa, wengine watalipa kisasi na wengine kama akina yona edson kuja na mada zao zisizo na mguu wala mkono.
Tatizo ni nini? labda kupotea kwa akina lizzy, ashadii, yule mwenye ID yenye 1980 na wengineo ndio kumelichokesha? mie sijui, ila ukweli limefulia.
Laleni salama.
Wewe umewahi kutenda au kutendwa JF?:A S cry::A S 12:
Na kwa nini unajiita Kisukari? Uko mtamu kama sukari?