Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Shikamooni,
Ninajua mtabisha kama ilivyo kawaida yenu ila Niseme tu ukweli, hili jukwaa limefulia, kila nikifungua sioni la zaidi sana sana ni watu wanlia lia tu kwamba wametendwa, wengine watalipa kisasi na wengine kama akina yona edson kuja na mada zao zisizo na mguu wala mkono.
Tatizo ni nini? labda kupotea kwa akina lizzy, ashadii, yule mwenye ID yenye 1980 na wengineo ndio kumelichokesha? mie sijui, ila ukweli limefulia.
Laleni salama.
Mi bado sijalala.
Ila lengo mojawapo ni kutoa ushauri kwa watu wa aina hiyo. Mi huwa nina feeling hiyo pia sometimes but hey....hakunaga jipya kwen tasnia ya mapenzi. Watu watatendwa. Watalipiza kisasi. And all that stuff. Tatizo tumekuwa mida mrefu hapa na kuyaona mara nyingi ila kwa wengine ndo mara ya kwanza.
Wengine tuwageni katika jukwaa hili hakhaa hayatuhusu...
Marahaba mrembo!
Wasiwasi wako tu, sema umesahau!! Wakti kwa sasa bado; tarehe mbovu kama hizi unatarajia kuwe na stori tamu za malavidavi?! Hata kwenye real world, haya mambo tarehe kama hizi huwa supsended! Count on my words, subiri mishale ya kuanzia tar. 25 hapa uone!Hujambo?leta maoni yako, na ulete mada za kujenga hapa, acha chai
Ole wao waugeuzao usiku kuwa mchana, basi lifungwe kama hamna jipya kwenye mapenzi! Tufanye tumemaliza mtaala wa MMU
Wasiwasi wako tu, sema umesahau!! Wakti kwa sasa bado; tarehe mbovu kama hizi unatarajia kuwe na stori tamu za malavidavi?! Hata kwenye real world, haya mambo tarehe kama hizi huwa supsended! Count on my words, subiri mishale ya kuanzia tar. 25 hapa uone!
Kaizer sijakulaani mbona, nimetoa tu neno,, ndio na mie nashangaa, may be mtaala umeisha sasa ni kipindi cha kusolve past papersJamani mbona unanilaani tena Mrembo by Nature...kweli sina usingizi. Hivi lilikuwaga na mtaaala?ππππ
May be you don't practice what you preach!! Umenisoma? Mapenzi yenyewe siku hizi mapenzi maslahi.....!! Avunwae mishale kama hii lazima awe anajifanya yupo bize coz' anajua akikutana na amvunae zitaanza stori zisizotekelezeka. As a result, kitakachokuwa posted hapa ni hayo ambayo umeyasema kwenye main thread....kutendwa, visasi! Mwanamke gani anataka mwanaume asiye na hela? Ukiishiwa,acha wenye meno wakate mzigo kisha uje hapa ku-post ya kutendwa!!Kumbe hapa mambo ya bando yanahusika sana eeehh, umening'amua macho, ujue mie sinaga tarehe 1 wala 25 , zangu ziko sawa tu
Wasiwasi wako tu, sema umesahau!! Wakti kwa sasa bado; tarehe mbovu kama hizi unatarajia kuwe na stori tamu za malavidavi?! Hata kwenye real world, haya mambo tarehe kama hizi huwa supsended! Count on my words, subiri mishale ya kuanzia tar. 25 hapa uone!
Mbona hata ww unalalamika juu ya mapenzi na thread mbovu