luckypepeta
Member
- Dec 26, 2015
- 25
- 8
Mhe. Rais haya majipu yatumbuliwe maana yatakuharibia kwenye utawala wako wengi wa maceo walipata teuzi zao kikabila; kindugu; kirafiki ndo maana hawana uchungu na fedha za wachangiaji na hata ajira zinazofanyika ndani ya hizi taasisi kuna watu wanaajiriwa kwa minajiri ya udini; na kuna watu wamepata ajira bila hata ya kufanyiwa usaili. Mh. Rais ajira za watumishi ndani ya hii mifuko zipitiwe upya na wale walioingia bila utaratibu waondolewe maana hawaperform wamekalia majungu tu.