Re:maulizo kuhusu uwezekano wa kuhama chuo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re:maulizo kuhusu uwezekano wa kuhama chuo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Da vincci, Oct 7, 2010.

 1. Da vincci

  Da vincci Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 9, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wanajamii naomba kuuliza kwa mtu yeyote mwenye maarifa na kujua hatua za kuhama chuo..Mfano sasa hivi TCU wamekuchagua lets say Ardhi university then wewe ktk prefarance zako ulikua unataka UDOM....qualifications za kwenda huko unazo..je kuna hatua gani unapitia?niko desparate kujua naona mda unayoyoma..
   
 2. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Da vincci!! Pole sana kwa usumbufu ulioupata. Lakini kwa bahati mbaya, uendeshaji wa vyuo vikuu upo tofauti, kila chuo kikuu ni taasisi inayojiendesha independently. Kinachowezekana ni kubadilisha kozi ndani ya chuo kimoja na sio kuhama kutoka chuo kimoja kwenda chuo kingine.

  Hivyo basi, inawezekana unazosifa za kusoma chuo ulichokuwa unakitaka ila katika kufanya choices ulikosea ukachagua kozi yenye competition. So cha kufanya ni kwenda kwenye chuo ulichochaguliwa, kama wanakozi unayoipenda kajarbu kubadilisha. kama hawana soma hiyohiyo uliyopata kwani ni lazima uliichagua hata kama chaguo la tatu.
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  umepata chuo gani?kama ni udsm utapata urahisi kidogo mfano unataka kuhamia udom unachotakiwa kufanya ni kuandika barua kwa dean of facult kuomba transfer then akiisain unaipeleka kwa director of undergraduate studies ikisainiwa unaipeleka chuo unachohamia for mor processes utajua mbele ya safari
   
 4. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sina uhakika kama nayo hii ni BREAKING NEWS
   
Loading...