donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
hahaha, nakusubiri mkuu nipate tutorialHahaha namalizia kazi moja ntarudi kwako mkuu, ni easy sana tunaweza kuwa pamoja
wacha bwana hujui kula bata ....? mwanzio niko unguja tangu jana nakula hao bata .....karibu!
Ebu nialike tufanye na practical kabisaa! ntakufundisha hadi jinsi ya kumkata na kumpika !!
acha mkuu, wanaliwaje sasa?
uwe na wenzio Ndio utajua ....
bado mkuu,nimeandika summary chache tuAm back mkuu...ushapata jibu?
Salaam wakuu,
Good mornie, habari za weekend?? Ok, kama inavojieleza hapo juu kichwa cha habari, i've been trying to understand the whole 'kula bata ' concept but still nashindwa kuelewa effective method ya ulaji wa kiumbe huyu. sasa, bibi yangu wa kule kwetu Nyanguge-Magu alinitumia magunia kadhaa ya michembe na manumbu kama zawadi ila mi nimefanya kupush nikafanikiwa kupata vijisenti kadhaa. therefore nahitaji 'KULA BATA 101', na hivi leo weekend basi niandae daftari langu la kutengeneza summary pamoja na vijisenti vyangu, nijue tunaanzia wapi na tunaishia wapi, ilimradi elements zote za ulaji wa duck ziwe inclusive...!!!
cc: Heaven on Earth, kabanga, Mr Rocky, utafiti, kiwatengu, B'REAL miss chagga,
bado mkuu,nimeandika summary chache tu
bado mkuu,nimeandika summary chache tu
ahaa mkuu mbona kula bata ni kazi nyepesi sana?
daaah mkuu najuta hapa, maweeee!Mkuu kwa hiyo amount sijui kama itatosha, unachotakiwa kufanya ni kuongozana na shemeji tafuta sehem anayopenda nenda nae and enjoy
mkuu nahitaji tutorialmi nitakufundisha juu ya kula bata..