Re: Kura za Waliotafunwa pesa za DECI zielekezeni CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Kura za Waliotafunwa pesa za DECI zielekezeni CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mpasuajipu, Oct 28, 2010.

 1. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nataka kuwakumbusha wale ndugu zangu tuliodhulumiwa pesa za DECI wakati ni huu.
  Msipotumia nafasi hii basi hatutapata tena muda mwingine. Maana pesa zetu ZILICHAKACHULIWA sasa tutumie rungu hili tarehe 31. Mgombea mmoja tu kazungumzia na kuahidi kulitatua tatizo hili katika muda wa siku 100 akiingia madarakani.Huyu ni Dr. wa ukweli Dr. SLAA. Tumpe kura zetu zote jamani . Hizo pesa zetu ndio zinatumiwa na MAFISADI sasa kuturarua rarua sasa tusikubali tena. Jamani wana DECI mpooooo, amkeni sasa. Sasa ni CHADEMA tuuuu.
   
 2. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe vipi bana!!!
  si wameshakwambia ule mchezo ulikuwa haramu, na dawa ya mali haramu ni kutaifisha tu!!
   
Loading...