Nafikiri hii inategemea na muda unaotumia katika maandalizi kabla ya tendo. Inaelekea huwa unatumia muda mrefu isivyo kawaida, mtoto wa watu ashafika ktk Peak anahitaji kuingiwa lkn wewe bado unang'ang'ana na mashambulizi ktk mwili wake. Na anapofika ktk Peak, pressure nayo inapanda, mzunguko wa damu unaongezeka, anahemea juu juu. Anahitaji mambo, mzee bado unang'ang'ana na Uvinza. hhaaa hhaaaa.
Ni maoni yangu, anyway.