Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
mzima ? habari ya hapo ulipo
Hapa kwema sana, hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu mawili
nafurahi kusikia u mzima wa afya... mnatunyima nini huko? ujumbe wako nimeupenda
Ni furaha kwangu kama umeupenda, huku tunawanyima kila kitu, ni vingi sana nikivitaja hapa duhhh hii forum ya chit chat itajaa kabisa....
duh! haya bana , itabidi unikaribishe nije na mie nipate hivyo mnavyo ninyima
Ukija itabidi uamue kabisa kwamba ni upande upi unataka ukaribishwe kwani viko vingi tunavyokunyima, usije vimbiwa bure manoah wa watu
Mrembo by Nature , kile kilicho bora kabisa na kidogo naona ndio kitanifaa bana ....
Kipi hicho kidogo kilicho bora?? hebu fafanua kwani vidogo vilivyo bora ni vingi
[TABLE="width: 515"]
[TR]
[TD="width: 458"]Nimeamua kuhamia na huku ili nigonge kote kote MMU na CC......... meseji yangu kwenu ni hyo hapo chini
"ALL GIRLS/LADIES AREN'T HOES AND ALL GUYS AREN'T PLAYERS, SO STOP SAYING THAT ALL GUYS/ALL GIRLS ARE THE SAME JUST CAUSE YOU PICKED THE WRONG....... KAA CHINI UPAMBANUE ULIPOKOSEA THEN UCHANGANYE VISIGINO"
Siku njema kwenu...........
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kipi hicho kidogo kilicho bora?? hebu fafanua kwani vidogo vilivyo bora ni vingi
Wawili endeleeni kwanzag