Re: Kila Mwanaume Anaye Lala na Mimi Harudii Tena na Wala Simu Zangu Hapokei

1. Kwanza acha kulala-lala na kila mwanaume. Kifupi acha uasherati
2. Mgeukie Muumba wako uishi maisha yanayompendeza yeye na kamwe hatakuacha kwa kuwa hakukosea kukuumba hivyo ulivyo.
3. Jiamini na jithamini kuwa wewe ni wa kipekee na hivyo utampata mtu wa kipekee aliyeumbwa kwa ajili yako.

1.Hahahaaa umenichekesha maana thread yake inaonesha amelala na wanaume wengi
3.sAsa atampataje huyo wa kipekee wakati woooooote wanamkimbia au asikimbilie kuwagawia njunjunju yake
 
[/COLOR][/B]
1.Hahahaaa umenichekesha maana thread yake inaonesha amelala na wanaume wengi
3.sAsa atampataje huyo wa kipekee wakati woooooote wanamkimbia au asikimbilie kuwagawia njunjunju yake

Namna ya kumpata huyo wa kipekee itampasa kwanza kuacha approach yake ya kwanza ya kuwagawia wanaomtokea. Hii ni kwa sababu njia hiyo imeshindwa kumpatia thamani yake anayostahili na badala yake imemletea fedheha na kumfikisha hapa alipo. Kwa umri alionao hapaswi tena kuitumia hiyo kitu kama chambo cha kupata mume - sijui kama unanielewa! Hili linawezekana kabisa.

Heshima, upendo, uchapakazi, tabia njema, uchangamfu na kujiamini ni miongoni mwa vitu vinavyopaswa kuzingatiwa na dada huyu, na waoaji wanavizingatia sana.
 
Mimi nachokushaur dada angu uende ukaonane na daktari wa magonjwa ya kinamama kama ni muhimbili au hospitali yoyote ile kubwa ambayo inaweza kukupatia msaada wa kiafya.Usiogope kumweleza kama ulivotueleza sisi wenzio wana jf. Baada ya hapo ukishafanikiwa ndo utafute mmoja 2 sio kila mwanaume unaenda nae sawa dia????????
 
Hiyo mimaji wenzio wanaitafuta kwa udi na uvumba wewe unaichukia. Kwetu zipo dawa kabisa za kumfanya mwanamke awe 'anafoka' kwenye niniliyu. Tatizo sio wewe tatizo ni njemba unazozipa mreng'eto,hiyo bahati uliyopewa hazijui kuitumia.Tafuta mtaalam wa kuchezea mayi.
Kopi: kina nshomile,waganda na wanyamulenge wote wa jf,mwanamke kumwaga mayi bana asikudanganye mtu.
KOKUTONA na Kipipi nifikishieni salam hizi kwa Slave , nitonye na Ruttashobolwa.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahah....bishanga ur not serious!!!! bt yeye amesema hayataki na yanamsababisha akose wachumba we unamwambia hajapata. xa atampata lini???
 
dada hyo isue ndogo sana,,fanya mazoez ya kegel aftr 2 wiks u wl see results.if u dnt knw about kegel plz google it.wish u al da best.
 
hahahahahahahah....bishanga ur not serious!!!! bt yeye amesema hayataki na yanamsababisha akose wachumba we unamwambia hajapata. xa atampata lini???

Kweli Mwashelii where i come from kumwaga mayi is as important as kissing kwa mzungu.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo mimaji wenzio wanaitafuta kwa udi na uvumba wewe unaichukia. Kwetu zipo dawa kabisa za kumfanya mwanamke awe 'anafoka' kwenye niniliyu. Tatizo sio wewe tatizo ni njemba unazozipa mreng'eto,hiyo bahati uliyopewa hazijui kuitumia.Tafuta mtaalam wa kuchezea mayi.
Kopi: kina nshomile,waganda na wanyamulenge wote wa jf,mwanamke kumwaga mayi bana asikudanganye mtu.
KOKUTONA na Kipipi nifikishieni salam hizi kwa Slave , nitonye na Ruttashobolwa.

Bishanga zimefika naomba tu Haliali ajiamnini bado hajampata wake wa kufa nakuzikana
maji sio sababu kama alivyo sema mkuu bishanga kuna sehemu hapa tanzania usipo kuwa na hayo maji mh!!
unaweza achwa cha msingi jiangalie kwanza tabia zako pengine jaribu hata kuongea na rafiki zako wa karibu na uwafanye kioo cha kujitazamia wewe,naimani utaelewa tatizo lilipo amini amini nakuambia mtu humpata mume kutoka kwa mungu hata awe na kilema cha sura cha mno muombe mungu akupe mume bora na mwema kwako.

asante kokutana na Kipipi kwa kuniletea habari
 
Last edited by a moderator:
Hiyo mimaji wenzio wanaitafuta kwa udi na uvumba wewe unaichukia. Kwetu zipo dawa kabisa za kumfanya mwanamke awe 'anafoka' kwenye niniliyu. Tatizo sio wewe tatizo ni njemba unazozipa mreng'eto,hiyo bahati uliyopewa hazijui kuitumia.Tafuta mtaalam wa kuchezea mayi.
Kopi: kina nshomile,waganda na wanyamulenge wote wa jf,mwanamke kumwaga mayi bana asikudanganye mtu.
KOKUTONA na Kipipi nifikishieni salam hizi kwa Slave , nitonye na Ruttashobolwa.

Ha ha haaaa, Slave, nitonye na Ruttashobolwa salamu zenu.. Bishanga anawasalimia salamu za mayi toka Kanda ya ziwa.
 
Last edited by a moderator:
MIMI ni mwanamke naandika hapa kuomba msaada wa mawazo maana sijui nina nini mimi…?
Umri unanitupa mkono maana nakaribia miaka 35 lakini sijampata aliyewahi kunitangazia ndoa. Cha ajabu kila anayelala na mimi siku ya pili harudii tena na hata nikimpigia simu hapokei.
Hapo ndo linapoanzia tatizo na kunifanya nijisikie vibaya…Saivi hata mtaani nachagua kwa kupita… Kuna mwanaume mmoja huyo ndo aliwahi kunichana live kuwa nina maji mengi na MAMBO yangu ni kubwa kiasi kwamba anafika kileleni akiwa nami hadi amfikirie mpenzi wake wa zamani…
Jamani naomba msaada nifanyaje mie. Je kuna dawa ya kupunguza haya maji na kuifanya hii MAMBO iwe ndogo? Hide My Name.
Source: Udaku Specially

Sasa lakini na wewe unalala nao hovyo kwa nini? Unadhani ukilala na mwanaume ndio atakuoa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom