kaka hizi gari ni nzuri sana mi nimeuza kama nne hv na mpk sasa ninayo moja nauza nyeusi engine 4D . zaidi tunaweza wasiliana kwenye 0685 31 23 26Wakuu rafiki yangu anataka kununua gari tajwa hapo juu i.e GAIA ....anatakajua umakini wa gari hii wakuu.
Fuel consumption,availability of spare parts,durability and the like...please help chap