Jamaa m1 alikuwa ametulia zake coco beach, akapita mzungu akamuuliza "R U RELAX" jamaa akatikisa kichwa akajibu "NO" baadae akapita tena mzungu mwingine akamuuliza jamaa "R U RELAX" jamaa akajibu "NO, I AM ALEX" Jamaa akaamua kusogea ahamie mbele, akamkuta mzungu mmoja amekaa zake, akamuuliza "R U RELAX?" Mzungu akajibu "YEAH" jamaa akampiga bonge la kibao yule mzungu, akamwambia kumbe we ndo RELAX mi nimesumbuliwa sana we umetulia tu huku.. Nenda huko wenzako wanakutafuta..
Ubarikiwe. Nalog offunajua wakati vinawekwa wenngine hatukuwepo humu jamii forums so asante kushukuru kwa asante yako.......
Jamaa m1 alikuwa ametulia zake coco beach, akapita mzungu akamuuliza "R U RELAX" jamaa akatikisa kichwa akajibu "NO" baadae akapita tena mzungu mwingine akamuuliza jamaa "R U RELAX" jamaa akajibu "NO, I AM ALEX" Jamaa akaamua kusogea ahamie mbele, akamkuta mzungu mmoja amekaa zake, akamuuliza "R U RELAX?" Mzungu akajibu "YEAH" jamaa akampiga bonge la kibao yule mzungu, akamwambia kumbe we ndo RELAX mi nimesumbuliwa sana we umetulia tu huku.. Nenda huko wenzako wanakutafuta..
unatafutwa kule kwenye thread ya KENGE!!!Hata JF
OTIS