RE: Enjoy the latest version of methali made in Kenya... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RE: Enjoy the latest version of methali made in Kenya...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Nyaralego, Sep 15, 2011.

 1. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2011
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Enjoy the latest version of methali made in Kenya...

  1. Aliye na macho hanywi Yokozuna
  2. Mgema akisifiwa, watu wanakufa Nyahururu.
  3. Umoja ni estate, utengano ni set book
  4. Wapishi wengi, chakula hupikwa haraka.
  5. Mtegemea Noodles, haachi kulala njaa
  6. Cha mlevi huliwa na Mututho ama makarao
  7. Mtoto akililia wembe anataka kukata sehemu nyeti auze
  8. Uzuri wa mke si sura, ni kujua fulu fulu condition
  9. Mpiga ngumi ukuta, ni Sonko
  10. Mbio ya 800 huishia kwa Rudisha.
  11. Usipoziba ufa, majirani watakuchungulia
  12. Mwenda pole ni bi arusi.
  13. Aliye juu bila shaka anatengeza roof ama aerial ya TV
  14. Ukistaajabu ya Musa haujasikia ya Onyancha
  15. Mwenye nyege haambiwi tazama
  16. Kidole kimoja ni jina ya kanisa ya Hellon (finger of God)
  17. Fahari wawili wakipigana, call rates zinashuka (safcom na Zain)
  18. Aliyembali haonekani
  19. Ahsante ya punda usiifananishe na ya ng'ombe
  20. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na MAMAWE
  21. Usimwone paka amenyeshewa ukafikiri hawezi kumla mtoto.
  22. Asiye na bwana aelekee KICC
  23. Mjinga akierevuka,walimu waende nyumbani
  24. Kikulacho kina appetite
  25. Dawa ya kuku ni Kenchic
  26. Haba na haba weka kwa M-KESHO
  27. Mwenda Tagged na Twitter marejeo ni Facebook.
   
 2. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  haina mivuto
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nimeipenda 12.
   
 4. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hiyo ya red Mmm Imekaa vibaya
   
 5. t

  tonton Member

  #5
  Sep 16, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Zinachekesha ...zinabamba sana kwa walioishi/wanaoishi Kenya.
   
Loading...