Re. Dawa za kuongeza nguvu za kiume

madezi

New Member
Jul 9, 2013
2
1
Huyu jamaa anayeelezea dawa za kuongeza nguvu za kiume za vivid herbel anapatikanaje ili tukutane nae atufafanulie kuhusu dawa hizo na mie nipo tayari kununua dozi nzima ya miezi mitatu kama alivyoeleza. Nijibu tafadhali
 
Mkuu madezi Ni Mimi ninaye tangaza hiyo dawa ya Herbal Vivid

attachment.php

Product Description Herbal vivid

Herbal Vivid - The Only Male Enhancement Formula Backed by the Vivid Name. Herbal Vivid is a all natural

herbal formula for penis enhancement that works to increase penis size, improve sexual health and strengthen

erections. Herbal Vivid is a 100% safe and natural herbal formula guaranteed to enlarge the penis up to 3 to 4

inches when used as we recommend.

Mkuu unitumie Barua ya pepe Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com Dawa hii ya Herbal

Vivid ni ya Mitishamba lakini imetengenezwa kwa utaalam wa kisasa yaani Vidonge (Capsule) na Dawa imekaguliwa

huku inapo patikana na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya huku nilpo mimi, kuwa haina Madhara kwa Binadamu.

No Side effect kwa hiyo ukitumia kwa muda wa Miezi 3 nina kuhakikishia kuwa utarudisha nguvu zako za

kiume hata kama ulikuwa

kipindi cha nyuma unapiga Punyeto inarudisha nguvu zako bila wasiwasi wowote ule mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Watu wanarekebisha vifaru vyao mkuu kwa ajili ya kuwakabili M23

tatizo mkuu watu8 wanaoomba haya madawa na watumiaji ni vijana wa miaka 25 mpaka 40 hapo unategemea nini mkuu
Kweli tutafikia ule umri wa wazee wetu ambapo unakutana na mzee wa miaka 60 bado ana nguvu zake na anakimbizana na vigori mtaani
 
Last edited by a moderator:
tatizo mkuu watu8 wanaoomba haya madawa na watumiaji ni vijana wa miaka 25 mpaka 40 hapo unategemea nini mkuu
Kweli tutafikia ule umri wa wazee wetu ambapo unakutana na mzee wa miaka 60 bado ana nguvu zake na anakimbizana na vigori mtaani
Mkuu Mr Rocky Tatizo vijana wengi wao wanatumia Madawa ya kulevya uvutaji wa sigara,Unywaji wa pombe,Upigaji wa Punyeto Ugonjwa wa kisukari, ugonjwa Moyo, Upungufu wa hormone, unene kupita kiasi na Vyakula tunavyokula siku hizi vinachangia upungufu wa nguvu za kiume.

Mambo muhimu yanayochangia Upungufu wa nguvu za kiume haya hapa chini:

(1)Tukubaliane ya kuwa kuna magonjwa au matatizo ya kiafya ambayo mtu anaweza kuzaliwa nayo na hayo hayo yanaweza kutokea kwa mtu mwingine baada ya kuzaliwa (mfano kisukari type 1 versus type 2).

(2)Kuna matatizo ya kiafya ambayo hayatibiki (cured) ila yanatulizwa tu (managed,symptomatically) (mf Kisukari, UKIMWI, shinikizo la damu n.k), na mengine yanatibika (mf Malaria).

(3)Kukosa nguvu za kiume (erectile dysfunction, impotence) ni hali ya uume unaposhindwa kusimama kabisa (erection) au unasimama/dinda kwa muda mfupi baadae unasinyaa (failure to maintain erection).

(4)Kukosa/kupungua nguvu za kiume kunaweza kupona au kutopona kutegemea sababu inayosababisha kuwepo kwa tatizo hilo.

Mojawapo ya sababu zinazosababisha mtu kupoteza (kupungua?) nguvu za kiume ni

(a)Unene kupita kiasi(Obesity),

(b)Kisukari,

(c)shinikizo la damu,

(d)uvutaji wa sigara,

(e)Ulevi wa kupindukia,

(f)psychological factors (msongo wa mawazo, hofu,uchovu)

(g)ukosefu/upungufu) wa hormone husika (hypogonadism),

(h)umri (inatokea kuanzia miaka 40 na kuendelea, ila kuanzia miaka 60 uwezekano ni mkubwa zaidi), (i)magonjwa ya mfumo wa fahamu (Parkinsonism etc),

(j)madhara ya dawa,n.k.

(5)Ili mashine isimame inahitaji ipate damu ya kutosha na hisia za kimahaba, yote yanadhibitiwa na mfumo wa fahamu.

(6) Sababu zilizoelezwa hapo juu zinasababisha upungufu/kukosekana kwa nguvu za kiume kwa kuzuia mtiririko mzuri wa damu kwenda kwenye mashine (pen.s) na/au kuharibu mfumo wa fahamu unaosababisha shaft isimame.

(7) Kwa hiyo kwa kutegemea nini kinasababisha na stage ya tatizo iliyofikiwa mgonjwa, tatizo la kukosa/kupungukiwa nguvu za kiume linaweza kwisha (kwa kufanya mazoezi,kupunguza msongo wa mawazo n.k) au kutokwisha.

Ukitaka Dawa ya Kurudisha Nguvu zako za Kiume hebu Tembelea hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
 
Last edited by a moderator:
yani pamoja na luba kwenye dimbwi watu wanatafuta dawa za kuongeza kiu ya kidimbwi??? aisee

tutaftieni na ya ku-suspend hamu japo kwa mwezi tu
 
yani pamoja na luba kwenye dimbwi watu wanatafuta dawa za kuongeza kiu ya kidimbwi??? aisee

tutaftieni na ya ku-suspend hamu japo kwa mwezi tu
Mkuu TIMING Hahahahah umenifurahisha sana leo watu wanatafuıta

Dawa ya kuongeza dushelele liwe na Nguvu. Wewe unasema watu watafute dawa ya kulisimamisha hilo Dushelele kasheshe kweli.Ni hivi

Kisa cha kuitwa Dume au Mwanamme sababu kubwa hilo Dushelele lako likiwa linafanya kazi barabara. Pasipo kufanya kazi hilo Dushelele lako

hujawa bado Mwanamme wa ukweli hata kama wewe ni Tajiri wa kupindukia madamu dushelele lako halina fanyi kazi basi utakuwa ni

Mwaname nusu sio kamili. Mtarimbo wako utakuwa umelala doro hahahahahah
 
Huyu jamaa anayeelezea dawa za kuongeza nguvu za kiume za vivid herbel anapatikanaje ili tukutane nae atufafanulie kuhusu dawa hizo na mie nipo tayari kununua dozi nzima ya miezi mitatu kama alivyoeleza. Nijibu tafadhali
Njoo maeneo Bigbraza sokoni flat la kwaza floor ya pili,nitakupatia dawa asili ya nguvu za kiume.Unatumia kwa wiki mbili tu unapona.Pia tunakupima kabla ya kukupa dawa.0714 381704
 
butron,

Na asipopona baada ya hizo wiki mbili itakuwaje? Utarudisha ngawila au kiendacho kwa mganga...

mudushi

Mnapima kwa kipomi gani?

Mdada aliyekama alivyozaliwa?
 
butron,

Na asipopona baada ya hizo wiki mbili itakuwaje? Utarudisha ngawila au kiendacho kwa mganga...

mudushi
kwanini asipone,wakati wenzie wameishapona na wamefunga ndoa.Mimi sio mbabaishaji hupewi dawa kabla ya kupimwa na uyo mgonjwa wako si wa kwanza kutibiwa wapo wengi waliomtangulia.Sirudidishi pesa ila wewe ndiyo utaongeza pesa kwa furaha utayokuwa nayo.Ndugu Mdushi ili ni tatizo kubwa sana japo wengi wenye matatizo wanajificha.
 
Back
Top Bottom