Mpendwa nakushukuru kwa salaam ulio anza nayo, At Umpe Bwana utukufu, hiyo ni salaam ya wanaoijua maana yake salam hiyo na ni nani anastahili huo Utukufu.
Baada ya hayo naomba nikuamibie kuwa weye unampa bwana wako utukutu tu sio Utukufu. Wa utukufu hautaki kwa watu ka weye. Mchumba tu, hujaoa, umeshaenda kumfunua utupu uone chain alio vaa. Shame on yu boy. Siku ya harusi, mchungaji/paroko akikuambia mfune shela utafunua nini?
Si kipindi cha mahubiri lakini tabia ka hiyo uliyo nayo hustahili hata kuoa mchwa wacha mtoto wa watu. Nenda kayatafute hayo yanayo tembea na pichu mkononi ndo yatakufaa si huyo. Kwa heri zako