Re-branding ya maji ya Uhai

Hayo ya ndanda ushawahi kufika kule kwenye Tanki lao, kule karibu na kota? Unaweza usiyanywe
 
Nayajua yale ya Lulindi nq Ndanda,but ni mazur,ila Ndanda kwa wasq hayaendi sana Lindi,sijui kwanini?
 
Weka picha.
Wanabodi,
Hii re branding waliofanya kampuni ya maji ya kunywa ya chupa ya UHAI nimeikubali, kuanzia packaging design hadi labbelling, kwa sasa angalau hii brand inaweza kuvuka mipaka.
 
Mbeya,Iringa, Tabora yamejaa pia...naona wanataka wakamate soko la kati na nyanda za juu... siku hizi kila mtu anataka auze maji
Ila na Iringa kuna maji yanaitwa Maji Africa yanafanya vizuri kwa maeneo hayo ya Iringa na wilaya zake
 
kusini kuna ndanda spring ni hatari tupu hakuna maji bora tz kama ndanda tatizo yanakosa promo tu ndio maana hayashiki soko kama kilimanjaro!
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,
Hii re branding waliofanya kampuni ya maji ya kunywa ya chupa ya UHAI nimeikubali, kuanzia packaging design hadi labbelling, kwa sasa angalau hii brand inaweza kuvuka mipaka.

Mkuuu...hayo maji si mazurii....angalia kiwango cha PH utajutaa....PH inayotakiwa ni 7.0 lakini ya haya maji unayo yasifia hyo PH yake ni balaa...angalia mwenyewe...si ajabu watu wanasema yana chumvi.
 
PH yake ni 7.3 wewe ukiyatumia huwa yana taste chumvi mkuu?
 
Wanabodi,
Hii re branding waliofanya kampuni ya maji ya kunywa ya chupa ya UHAI nimeikubali, kuanzia packaging design hadi labbelling, kwa sasa angalau hii brand inaweza kuvuka mipaka.

Chumvi tupu hapo
 
maji bora p.h 7.9 ...?

wengi tunatumia bidhaa bila kufuatilia vitu vya mmsingi, bora ninywe yale ya zamani ila sihaya mnayosema mapya,

maji ni more alkaline hayakati kiu, utakunywa na kunywa bila kukata kiu,
Sio mtaalamu ila mpaka imeandikwa hapo kwenye chupa na TBS wameruhusu maana yake kuna kiwango ambacho kinavumilika just in case itatokea teknolojia inayotumika ku-purify maji haiwezi kurudisha hayo maji mpaka P.H. 7.0, sidhani kama hiyo 0.9 PH unaweza uka-notice changes ya ladha. Embu tiririkeni wataalamu wa water quality assessment maana nyie ndo mnajua kiwango vumilivu cha contents za minerals katika maji au yanakuwa kama yale ya Dodoma ambayo kama ni mgeni unakunja sura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…