Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Utajiri ameupata kwa kudhulumu haki ya baadhi ya watu kuishi
Yeye anakipwa ml.600 kwa mwezi,sababu anaongoza mkoa mkubwa kuliko yote nchini.
Ndo maana naamini viongozi wote wakipunguziwa japo robo mshahara itakua poa. Hii ni kwa wote wa serikali mahakama na bunge. Kama wataona pesa ni ndogo bac huku nje kuna watu wanaoweza kuishi kwa nusu ya mishahara hiyo na wakafanya kazi kwa uadilifu na uaminifu.Kwa mkuu wa mkoa hulipwa sh. Million 6 kabla ya kodi.. pia nyumba wanazoishi za serikali hulipiwa utilities zote (maji, umeme)..
Wakuu wa wilaya hulipwa million 3 kwa mwezi kabla ya kodi
Kwani ukijua itakusaidia nini kwenye Maisha yako ukijua wanalipwa shilingi ngapi?Habari!
Naomba kuuliza Mkuu wa mkoa au Wakuu wa mikoa wanalipwa Tsh. ngapi?
Karibu!
Kwa mkuu wa mkoa hulipwa sh. Million 6 kabla ya kodi.. pia nyumba wanazoishi za serikali hulipiwa utilities zote (maji, umeme)..
Wakuu wa wilaya hulipwa million 3 kwa mwezi kabla ya kodi
Unazijua kazi za DC? HUWA HAWANA KAZI!! yeye anakaa kusoma magazeti na kusimamia kamati ya ulinzi na usalama kazi inayofanywa na OCD.. bye ushuzi hivyoKwa DCs hapo hapana
DEDs, Maprofesa wanachukua basic milioni tano na kitu DC lazima yupo juu yao
Sent using Jamii Forums mobile app