RC Singida waombe radhi wananchi wa Singida

hii nchi majitu yote yanayotawala ni majambazi kama juu wanaiba!!!!
unategevea huyu wa chini iweje?
huu ni mfumo mbovu wa chama twawala.chukua chako mapema.
 
Jana nimemkuta mwenyekiti wa tarafa yangu anatumia pikipiki ya ofisi kubeba abiria, mimi kama raiya wa tarafa husika nilimpa angalizo ila najua ataendelea na biashara yake kwa usafiri huu wa ofisi lakini najiona mwepesi na hasira zangu zimepungua kidogo kwa makofi niliyomtandika jana baada ya kumkamata.
Ulimtandika eeh!safi sana,hilo ndio lililobaki kwa sasa
 
Back
Top Bottom