Thanks nafkri mtangazahi alijichanganyaChiku tena! Rehema Nchimbi
Mtangazaji nafkiri alijichanganya kidogoMkuu wa mkoa wa singida chiku galawa how about Songwe and Dr. Rehema Nchimbi??? ??!
Hata ukichukua miaka 10.lakini ukiwa mzembe na mla rushwa hufaiMpaka uwe daktari inachukua miaka mitano chuo ukisoma, mpaka kuwa mkuu wa mkoa inakuchukua miaka mingapi chuo? Ukipata jibu utajua nani hana akili
Kisasi ni kitu kibaya... anaeza mchoma hata sindano ya malaria kwenye macho.. ili apate utamHuyo Rehema nchimbi ana wenge na kuweweseka! Jinamizi la yule DR bado analo! Pia ana wenge la kutofanya vizuri hapo Singida......ikitokea reshaffle ya ma RC basi ujue Rehema hatakuwemo! Then akiaj mtaan siku isiyo na jina ataenda hospital kutibiwa yeye au familia yake atakutana na yule Dr......sijui nini kitatokea!!