RC Paul Makonda tusaidie wazee wa TAZARA tulipwe deni letu na serikali

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Mtukufu umekuwa ukiwasaidia watu mbalimbali.....je wazee wa TAZARA yaani toka 2006 hadi leo, wazee wa watu hela zao hazijatoka kwanini mtukufu Paul yaani deni la taifa mnalipa lakini watanzania wenzenu no.

logo-2.png
14237766_169724516798976_2287672482593870319_n.jpg
 
kama mungewahi kuwa na mtu ambaye anaweza kudeliver angalau robo ya uwezo wa Makonda nadhani gagulo na boxer mungejiviligia kichwani kwa furaha
 
Hili la kujisifia kulipa deni la taifa wakati wananchi wako uwalipi.

Bora wangelipa tu kimyakimya

Ufinyu na uvivu wa kufikiri na sifa za kijinga
Unauhakika ni kweli hawajalipwa au mtu kapost tu thread kusudi watu wabeze serekali kulipa deni la taifa??.
 
Back
Top Bottom