mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,258
- 1,541
Naww tengua kauli yako.......!! Mungu?? Mungu gani??? Watu kibao wanakufa w unasema nn?? toa upupu wako hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kuamin bila kuchukua tahadharTunao Amin tunajua mungu Gan mkuu ndiomana nikaandika kwa wanao Amin tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kitabu gani mkuu?Mkuu, nami pia ni mkristo kama wewe.
Naomba niwasilishe this verse...View attachment 1454862
Sent using Jamii Forums mobile app
NB usininukuu Nimeweka kukusaidiaHiki kitabu gani mkuu?
Wewe vipi unataka kutuharibia sherehe yetu, sisi tumekwisha andaa sanitaiza za koo toka duka la Mohan na bei zake ni Kali kama sanitaiza yenyewe. Karibu Kigamboni Jumapili tupige kelele usije na hela. Sisi tutaanza kunywa usiku saa sita kuamkia Jumapili.Polen na majukum
Paul Makonda tengua kauli yako ya kusema watanzania jumapil tusherehekee kuishinda Corona kwa kufungua ma baa na kwenda disko
Ikiwa Kama muumin ambae naungana na magufuli katika kuamin kua MUNGU ndie Alie tulinda dhid ya Corona sababu ya dua zetu na mapenzi yake mungu. Hatutakiwa kumshukuru MUNGU kwa kufanya anasa
Kiongoz Kama kiongozi ulitakiwa uitishe Tena hata siku tatu za kumuomba mungu na kumshukuru Sio tumshuru kwa kukufuru please makonda embu omba Toba na utengue kauli yako utangaze jumapil kua siku ya ibada Tanzania especially Dar na Sio siku ya kufungua ma baa na kufanya mapat
Tukumbuke hata nabii Musa baada ya kuokoa watu wake walipo kua tayar wako salama wakaanza kufanya maasi mussa alipo enda kuongea na MUNGU wakat anarud akakuta watu wanafanya Maas ya kumuuzi mungu kitu ambacho kilipelekea watu wale walio kua tayar wameokolewa kuadhibiwa Tena
Naomba mh tengua kauli kabla hujasababisha watu kufanya maasi mengine mengi ambayo maasi hayo ndio yalisababusha Mungu atuadhibu kwa kutuletea Corona
Onyo hii ni kwa wanao Amin MUNGU tu
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π π π π πWewe vipi unataka kutuharibia sherehe yetu, sisi tumekwisha andaa sanitaiza za koo toka duka la Mohan na bei zake ni Kali kama sanitaiza yenyewe. Karibu Kigamboni Jumapili tupige kelele usije na hela.
Au ana maslahi ya kisiasa na sikkuu ya IDDI maana usiwaamini wanasiasaPolen na majukum