RC Paul Makonda kwa kushirikiana na kipindi cha Chomoza cha Clouds tv waanda tafrija kwa viongozi wa dini tarehe 26/12/2018

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,959
141,956
Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kwa kushirikiana na Clouds media wameandaa dhifa kubwa kwa viongozi wote wa dini siku ya kufungua zawadi za Christmas.( boxing day).
Lengo la tafrija hilo ni kwa viongozi wote wa dini kama mwili wa Kristo kushiriki kula chakula kwa pamoja na kukumbushana habari njema ya kusudi la kuja Masihi wa Bwana.

Johnthebaptist nikiwa ibadani hapa Israel nawatakia tafrija njema!
 
Wasisahau kumpongeza na kumpa zawadi Kiongozi mkuu, kwa mazingira bora kisiasa, Xmas hii KUB yupo JELA. Hai kuwahi kutokea. Sifa na pongezi zimwendee Mkuu wa Awamu ya Tano.
 
Israeli kuna ibada gani !?
 
Wasisahau kumpongeza na kumpa zawadi Kiongozi mkuu, kwa mazingira bora kisiasa, Xmas hii KUB yupo JELA. Hai kuwahi kutokea. Sifa na pongezi zimwendee Mkuu wa Awamu ya Tano.
Kutii mamlaka ni agizo la Mungu....... Mahakama ni mamlaka!
 
Upo sawa mkuu, ndio maana tunapongeza juhudi Mtawala Awamu ya 5 kwa mazingira bora kisiasa, kupelekea KUB na Viongozi Upinzani kupandishwa kizimbani, ili sheria ichukue mkono wake.Hongera JPM
 
Si hao hao wakikosolewa na viongozi wa dini wanasema tutangenije dini na siasa? sasa mwanasiasa na viongozi wa dini kwenda kula na kuongea nini wakati mambo yao ni ya kutenganishwa, kiongozi mmoja baada ya kula akimtaka aoneshe vyeti atasemaje?
 
Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kwa kushirikiana na Clouds media wameandaa dhifa kubwa kwa viongozi wote wa dini siku ya kufungua zawadi za Christmas.( boxing day).
Lengo la tafrija hilo ni kwa viongozi wote wa dini kama mwili wa Kristo kushiriki kula chakula kwa pamoja na kukumbushana habari njema ya kusudi la kuja Masihi wa Bwana.

Johnthebaptist nikiwa ibadani hapa Israel nawatakia tafrija njema!
Hii yote clouds ni kujikomba komba ili fiesta isije pigwa tena tarehe au marufuku.
 
Back
Top Bottom