Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,240
- 9,527
Kilo 323.6 za dhahabu zenye thamani ya shilingi trillion 3 zimekamatwa zikitoroshwa kinyemela kwa magari mawili kwenda kuuzwa nchi jirani kupitia Mkoa wa Geita.
Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya Usalama ya Mkoa, John Mongela amelipongeza jeshi la polisi kwa kubaini utoroshwaji wa rasilimali ya nchi.
Kilo moja ya dhahabu ni kama 80mil kutegemea na kiwango cha purity.
Kilo 324 ni kama 25bil.
Wao wanapataje trillion 3?
Kama wanapotosha jambo la wazi hivi, je ni yapi mengine wanapotosha?
Nimewahi kuwa muhanga wa jambo linalokaribia kufanana na hili.
Mamlaka na polisi wanakuwa na motive nyinginyingi nyuma ya tukio.
Mfanyabiashara aliyekamatwa anaweza kupata shida kubwa yeye au familia yake kama washirika wake kibiashara watahisi kuzungukwa.
Why these lies?
Sent using Jamii Forums mobile app