RC Mwanza na waandishi wa habari wanapotosha thamani ya dhahabu iliyokamatwa kwa kusudi au bahati mbaya?

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,240
9,527
Kilo 323.6 za dhahabu zenye thamani ya shilingi trillion 3 zimekamatwa zikitoroshwa kinyemela kwa magari mawili kwenda kuuzwa nchi jirani kupitia Mkoa wa Geita.

Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya Usalama ya Mkoa, John Mongela amelipongeza jeshi la polisi kwa kubaini utoroshwaji wa rasilimali ya nchi.

Kilo moja ya dhahabu ni kama 80mil kutegemea na kiwango cha purity.
Kilo 324 ni kama 25bil.
Wao wanapataje trillion 3?
Kama wanapotosha jambo la wazi hivi, je ni yapi mengine wanapotosha?

Nimewahi kuwa muhanga wa jambo linalokaribia kufanana na hili.
Mamlaka na polisi wanakuwa na motive nyinginyingi nyuma ya tukio.
Mfanyabiashara aliyekamatwa anaweza kupata shida kubwa yeye au familia yake kama washirika wake kibiashara watahisi kuzungukwa.

Why these lies?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtu amefanya biashara ya dhahabu miaka, ana sonara, plant na vyote vinalipa kodi.
Hakuna mtu anayerisk kiasi kikubwa hivi cha dhahabu bila kukilipia kodi.
Kwanza tu hapo kwenye illusion alipochomea carbon mamlaka ziko zakutosha.

Nakwambia nyuma ya hili zoezi kutakuwa tu na motive.
Kinacholengwa hapa ni kumfilisi basi!
Ndio mana kelele inapigwa ili aonekane ni mtu mbaya kabisa
Kwa nini umuite mfanyabiashara na sio mtoroshaji??

Hizo akili zenu za kupaka paka rangi ndio zimelifikisha Taifa hapa tulipo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli,hii hesabu iko kijinga zaidi.
Siamini mtu kama mkuu wa mkoa,kamanda wapolisi na wote waliohusika kutoa taarifa hii ni watu wsio na uelewa wa kutosha.
Wamepotosha kwa makusudi. Hii inafanya taarifa isiaminike kwa sababu mpaka sasa iliacha maswali mengi pasi na majibu.

Mf. Anaposema dhahabu ilikuwa inatoroshwa, lkn inasemekana ilikuwa inapelekwa Geita,huko hakuna uwanja wa ndege,lkn sio mkoa uliopakana na nchi jirani. Sasa anaposema ilikuwa inatoroshwa tunashindwa kumwelewa.
Ukiongeza na hili la mahesabu unaona kabisa taarifa hii ni ya kutengeneza

Sijui wenzangu mnonaje hii taarifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly, huyo Kisabo ni mkazi wa Geita na ofisi zake ziko Geita. Mwanza itakuwa alipeleka carbon illusion.
Sasa wanataka kumfilisi kimzahamzaha tu!

Biashara zote halali mahali popote zinafanywa kupitia leseni na vibali mbali mbali haiwezekani mtu anakamatwa hata tu kipande cha karatasi kuonyesha uhalali wa biashara anayofanya hana..hakuna taarifa yyote toka ofisi yake, au hata washirika wake..mtu anapokamatwa huwa kuna viashiria vya uhalifu tayari..huyo ni mtuhumiwa wa uhalifu, kutorosha si lazima uwe mpakani, unaweza torosha kitu kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine humu humu ndani..kwa nini mnalazimisha tafsiri moja mnayoitaka nyinyi..
 
Huyo mtu amefanya biashara ya dhahabu miaka, ana sonara, plant na vyote vinalipa kodi.
Hakuna mtu anayerisk kiasi kikubwa hivi cha dhahabu bila kukilipia kodi.
Kwanza tu hapo kwenye illusion alipochomea carbon mamlaka ziko zakutosha.

Nakwambia nyuma ya hili zoezi kutakuwa tu na motive.
Kinacholengwa hapa ni kumfilisi basi!
Ndio mana kelele inapigwa ili aonekane ni mtu mbaya kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nawe hii theory yako. Huyu jamaa ni mfanyabiashara mkubwa wa Dhahabu siku nyingi na ni mwekezaji pale Geita wa siku nyingi anayefahamika.
Sasa ukiona zoezi la kukamatwa kwake limemuhusisha RC na timu ya waandishi waliokuwa wameandaliwa na makamera yao mwenye akili unajiuliza kulikoni?
Pia kwa nini picha zao zina onyeshwa lakini lakini majina eti yamehifadhiwa? maana ni kuwa ni wachache watakao ona picha hizo lakini wale wachimbaji wadogo wadogo na watu wa kawaida wanaomfahamu kwa undani hawata jua kuwa ni yeye kakamatwa.
Style ya kutaifisha haita iacha salama serikali yetu, ni kweli ni vigumu kuilaani serikali lakini wakati mwingine laana kuiangikia Taifa yawezekana
 
Huyo mtu amefanya biashara ya dhahabu miaka, ana sonara, plant na vyote vinalipa kodi.
Hakuna mtu anayerisk kiasi kikubwa hivi cha dhahabu bila kukilipia kodi.
Kwanza tu hapo kwenye illusion alipochomea carbon mamlaka ziko zakutosha.

Nakwambia nyuma ya hili zoezi kutakuwa tu na motive.
Kinacholengwa hapa ni kumfilisi basi!
Ndio mana kelele inapigwa ili aonekane ni mtu mbaya kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisabo syo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ya dhahabu sio ya ndizi au mbuzi brother.
Huwezi tangazia kila mtu wakati unapeleka mzigo.
Taarifa zinapaswa kuwa siri sana na mara nyingi unajitahidi kama zikivuja basi watu waelewe mzigo unaenda sehemu A halafu unaupeleka sehemu B.
Kwenye hela hamna wa kuaminiwa
Biashara zote halali mahali popote zinafanywa kupitia leseni na vibali mbali mbali haiwezekani mtu anakamatwa hata tu kipande cha karatasi kuonyesha uhalali wa biashara anayofanya hana..hakuna taarifa yyote toka ofisi yake, au hata washirika wake..mtu anapokamatwa huwa kuna viashiria vya uhalifu tayari..huyo ni mtuhumiwa wa uhalifu, kutorosha si lazima uwe mpakani, unaweza torosha kitu kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine humu humu ndani..kwa nini mnalazimisha tafsiri moja mnayoitaka nyinyi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ya dhahabu sio ya ndizi au mbuzi brother.
Huwezi tangazia kila mtu wakati unapeleka mzigo.
Taarifa zinapaswa kuwa siri sana na mara nyingi unajitahidi kama zikivuja basi watu waelewe mzigo unaenda sehemu A halafu unaupeleka sehemu B.
Kwenye hela hamna wa kuaminiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao washika mafaili wavaa Tai hawawezi kukuelewa hata siku moja

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ya dhahabu sio ya ndizi au mbuzi brother.
Huwezi tangazia kila mtu wakati unapeleka mzigo.
Taarifa zinapaswa kuwa siri sana na mara nyingi unajitahidi kama zikivuja basi watu waelewe mzigo unaenda sehemu A halafu unaupeleka sehemu B.
Kwenye hela hamna wa kuaminiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata ukienda bank kudraw fedha kiasi kikubwa unaambiwa uende ukatoe taarifa na upewe ulinzi Wa polisi.

Mambo yamebadilika hata kusafirisha mzigo Wa dukani Kwa sasa lazima uwe na risiti halali sembuse hayo makilo ya dhahabu Bila kibali chochote cha serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ya dhahabu sio ya ndizi au mbuzi brother.
Huwezi tangazia kila mtu wakati unapeleka mzigo.
Taarifa zinapaswa kuwa siri sana na mara nyingi unajitahidi kama zikivuja basi watu waelewe mzigo unaenda sehemu A halafu unaupeleka sehemu B.
Kwenye hela hamna wa kuaminiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaelewa vzr nilichoandika..hata risiti zinazoonyesha kodi imelipwa kwa hicho unachoweka kwenye gari ni siri??? na kama si mara ya kwanza kufanya hivyo ziko wapi taarifa za nyuma kuthibitisha hicho unachokifanya??? hizo dhahabu zinafungashwa na misukule?? kama zinafungashwa na watu siri iko wapi hapo...Huwezi beba dhahabu kiasi hicho na pesa kiasi hicho bila nyaraka yoyote kukupa uhalali wa kufanya hivyo!
 
Hivi unaelewa vzr nilichoandika..hivi risiti zinazoonyesha kodi imelipwa kwa hicho unachoweka kwenye gari ni siri??? na kama si mara ya kwanza kufanya hivyo ziko wapi taarifa za nyuma kuthibitisha hicho unachokifanya??? hizo dhahabu zinafungashwa na misukule?? kama zinafungashwa na watu siri iko wapi hapo...Huwezi beba dhahabu kiasi hicho na pesa kiasi hicho bila nyaraka yoyote kukupa uhalali wa kufanya hivyo!
Nyie Subirini hapo lazima mtu atangukia pua

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom