PreGE2025 RC Mtwara atoa wito kwa viongozi wa dini kuwaelimisha waumini kuchagua viongozi bora 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
341
Reaction score
476
Viongozi wa dini mkoani Mtwara wametakiwa kuendelea kuwaambia waumini wao juu ya kuchagua viongozi bora watakaoleta maendeleo ndani ya mkoa na taifa kwa ujumka utakapofika uchaguzi mkuu mwaka huu 2025.

Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala wakati wa ghafla fupi ya Iftar iliyoandaliwa kwa lengo la kuwafuturisha waumini wa dini ya kiislamu na kikristo kwakua ni kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwarezma.

1742053583242.jpeg
RC Sawala amesema tunapoelekea katika uchaguzi viongozi hao wadini ni vyema kuendelea kuuombea mkoa na Taifa kwa ujumla ili ukawe uchaguzi wa amani na utulivu.

Aidha amewashukuru viongozi hao wa dini kwa namna wanavyoendelea kuwaongoza kiroho,kimwili kwa kuwafundisha yaliyokuwa mema na kuchukia mabaya lakini kudumisha utulivu katika mkoa.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nae Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Jamaldin Chamwi ametumia nafasi hiyo kuwataka waumini wa dini wa dini zote mbili kuendeleza hali ya mani wakati wote ili kudumisha mshikamano waliokuwa nao.

Muinjilisti Matayo Masaka amewaomba waumini kumuombea dua Rais Samia Suluhu Hassan ambae ndie amemteua RC Sawala kuuongoza mkoa wa Mtwara kwakua amekuwa kiongozi sahihi kwa wananchi wa Mtwara.
 
Kwani hajui viongozi wanachaguliwa na dola na siyo wanachi?
 
Wa
Muinjilisti Matayo Masaka amewaomba waumini kumuombea dua Rais Samia Suluhu Hassan ambae ndie amemteua RC Sawala kuuongoza mkoa wa Mtwara kwakua amekuwa kiongozi sahihi kwa wananchi wa Mtwara.
Kwani wananchi ndio wanaochagua viongozi?
 
Back
Top Bottom