RC Mnyeti atengua agizo la Kigwangalla la kuwataka wakazi wa Kimotoro mkoani Manyara kuhama eneo la hifadhi

sasa sisi tufanyaje? nchi inaendeshwa kihuni haijulikani dereva ni nani na mpiga debe ni nani, mmehiaribu sana hii nchi. yaani watanzania hapa tulikosea sana Mungu atusamehe
bado nafasi ipo 2020
 
kitu gani sio cha kawaida hapo? awamu hii haina coordination,ipo hovyohovyo halafu mnyeti na bashite ni special case,si mnasikia anavyotoaga kauli za kibaguzi kwa chadema na hafanywi kitu?kununua madiwani camera ikamnasa hafanywi kitu,kuna siku hawa na bashite watapiga hata mawaziri vibao
Itatokea tu hiyo we ngoja mkuu

Ova
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Dalili nyingine ya huyu mtu kushindwa kudhibiti subordinates wake. Yeye yuko busy kununua Wabunge na Madiwani kuelekea 2020. Marufuku kuwasukumizia Ikulu wezi, mafisadi wauaji, waongo na wasio na sifa ya kuliongoza Taifa letu.

kitu gani sio cha kawaida hapo? awamu hii haina coordination,ipo hovyohovyo halafu mnyeti na bashite ni special case,si mnasikia anavyotoaga kauli za kibaguzi kwa chadema na hafanywi kitu?kununua madiwani camera ikamnasa hafanywi kitu,kuna siku hawa na bashite watapiga hata mawaziri vibao
 
Tuwaombee Mungu, mambo ya roho za ushindani yaishe. Kuonyeshana Nani Mkubwa ni kitu nisichokipenda. Watu wetu ni wazaifu Sana, tusiwachanganye kwa ukuu wetu. (Hii ni follow, unfollow strategy). Ni aibu kwetu. Mungu Mkubwa, na ajua zaidi.
 
Mgambo wanaruka na kukanyagana
20180307_200303.jpeg
 
kitu gani sio cha kawaida hapo? awamu hii haina coordination,ipo hovyohovyo halafu mnyeti na bashite ni special case,si mnasikia anavyotoaga kauli za kibaguzi kwa chadema na hafanywi kitu?kununua madiwani camera ikamnasa hafanywi kitu,kuna siku hawa na bashite watapiga hata mawaziri vibao
Naomba hiyo siku ya mawaziri kuzabuliwa mabao na watoto wa mfalme inikute hai na mwenye akili timamu
 
Mkuu wa Mkoa lazima atakuwa amepata maelekezo kutoka kwa Mkuu kwa sababu hawezi kwenda kinyume na mjumbe wa mhimili mkuu wa nchi, serikali Kuu. Sasa Je Mkuu hajafurahishwa na kauli ya Kigangwallah dhidi ya nchi jirani kututesea watanzania wenzetu? Ukiwa na ufikiri utagundua kitu. Siku za Kigwangallah zinahesabika nahisi anatamani hata leo amtumbue ila itaonekana ni kwa sababu ya nchi jirani kwa hiyo ngoja atafutiwe sababu nyingine
Yawezekana PK kanunaa huko aliko
 
Dalili nyingine ya huyu mtu kushindwa kudhibiti subordinates wake. Yeye yuko busy kununua Wabunge na Madiwani kuelekea 2020. Marufuku kuwasukumizia Ikulu wezi, mafisadi wauaji, waongo na wasio na sifa ya kuliongoza Taifa letu.

Best comment right there!
 
RC ni zaidi ya waziri.RC ni rais wa mkoa kwa mujibu wa awamuu ya tano
 
Back
Top Bottom