Huyu RC Chalamila anaweza kuwa alipita UDSM kusoma lakini hajaelimika. Kauli zake kwa kweli hazina tofauti na wabunge Lusinde au Msukuma ambao hawajasoma beyond STD VII na kazi yao kuropoka hivyo bungeni.Haa Ana Masters Kutoka UDSM
Mi simo[emoji23][emoji23][emoji23]tena furushi hasa !
Kutokana na hotuba yake ya jana kutu kera sana wana mbeya tunamuomba sana huyo rc atuombe radhi maana maneno aliyo yatamka hadharani kuwa wakosoaji woote wa serikali inabidi wapigwe viboko na kuwachoma sindano ili wawe vichaa imetukera sana.
Kwa wana Mbeya hiyo lugha iliyo tumiwa na rc ni ngeni sana na inatuchafulia utamaduni wetu wa kistaarabu tulio uzoea.
Ndio maana yake!! Kwenye kuongoza watu usilazimishe wote wakupende, na haiwezekani iwe hivyo!! Na ukichunguza sana utakuta hata hao wanaojifanya kukupenda ni kinafiki tu!! Kwani si hao hao walikuwa wanaiimbia mapambio awamu ya tano? Leo ndio wanakuambia tena kuwa tumeibiwa sana!!!? Bora yule anayesimamia msimamo wake tu, hao wengi wao ni njaa tu.Kwahiyo unakiri kuwa rc kafanya makosa makubwa sana kuwaona wakosoaji wake kama adui wa serikali!
Ndio maana yake!! Kwenye kuongoza watu usilazimishe wote wakupende, na haiwezekani iwe hivyo!! Na ukichunguza sana utakuta hata hao wanaojifanya kukupenda ni kinafiki tu!! Kwani si hao hao walikuwa wanaiimbia mapambio awamu ya tano? Leo ndio wanakuambia tena kuwa tumeibiwa sana!!!? Bora yule anayesimamia msimamo wake tu, hao wengi wao ni njaa tu.
Ana kichwa cha mviringo. Watu wa aina ya kichwa hiki basi ikitokea wakakosa kuwa matahira wanakuwa na akili ndogo sana yani wakiwa wadogo huanza kuongea kwa ufasaha wakifikia miaka 15 na kuendeleaAfya ya akili ya Chalamila ichunguzwe , muundo wa kichwa alichonacho unazua maswali mengi mno .
Tunakushukuru sana Daktari kwa ufafanuzi mwananaAna kichwa cha mviringo. Watu wa aina ya kichwa hiki basi ikitokea wakakosa kuwa matahira wanakuwa na akili ndogo sana yani wakiwa wadogo huanza kuongea kwa ufasaha wakifikia miaka 15 na kuendelea
Huyu baba sijui Kaka Ni mbumbumbu tu.
Sijui walimtoa wapi huyu jamani dah
Kwa matamshi yale aliyo yatoa naanza kuamini maneno yakoAna kichwa cha mviringo. Watu wa aina ya kichwa hiki basi ikitokea wakakosa kuwa matahira wanakuwa na akili ndogo sana yani wakiwa wadogo huanza kuongea kwa ufasaha wakifikia miaka 15 na kuendelea
Kulikuwa na haja ya kuwapima akili baadhi ya wateule kama huyu. Anaongea vitu vya hatari sana lakini anaangaliwa tu. Inaezekaba siyo yeye ila dish limeyumba
Anasahau yaliyo mkuta mtangazaji wa kituo cha radio huko Kenya Arap SangYale maneno sio ya kiongozi hamna tofauti na wale mateja wa kuiba maufuta. Kauli zile akiongea Zito au Mbowe inakuwa ni uchochezi. Akiongea Chalamila ni poa tu tena ni hoja yenye nguvu
Lakini Chalamila sio Mkinga ni mhehe wa Mufindi.hhahaha watu huwa hWamfatilii vzr huyu Chalamila..ana akili butu sana..ana shombo za kukera na lilafudhi lake la kikinga😏😏
Lakini Chalamila sio Mkinga ni mhehe wa Mufindi.
Hivi yule wa Hai alishasomewa mashtaka ya ........kutoka kwa Mzee SwaiSasa magu si ndo anapenda watu kama hawa wanaotumia nguvu zao zote kumpigia debe? sema hawana akili namna ya kushawishi