RC Mbeya utuombe radhi wana Mbeya

Sasa hapo kilichokuuma ni nini?
 
Hakupaswa kuwa ofisini mpaka muda huu

Maguful muwajibishe Huyu Chalamila anatuchafulia mkowa wetu
 
Kwani umehama Kurasini?
kurasini sijawahi kukaa , kwangu ni Tandika Mwembeyanga Transfoma DSM , kwenye ile nyumba nzuri kuliko zote na Kajunjumele - Kyela , Ukiniona Kurasini basi ni kwa ajili ya kusafirisha au kupokea Makontena yangu bandarini , maana mimi ni mwekezaji , sisi ndio hela zetu zinanunua hizi ndege zenu mnazotamba nazo
 
Wakati wa Awamu ya kwanza kuna Mkuu wa Mkoa wa Mbeya alikuwa na kauli kama hizo
 
walichome lenyew na midomo yake linywa gongo linatoa udenda kama k
 
walichome lenyew na midomo yake linywa gongo linatoa udenda kama k
 
Mbeya Ipi, CC Watu wa Mbeya hatuongelewi na Mburula. Mbeya ni Mkoa wa Wasomi wanaojielewa na kuelewa maana ya kila kamsemo.
Mungu mwenyewe anakosolewa sembuse binadamu acheni unyumbu!! Watoto wako mwenyewe umewazaa wanakwambia hapa baba umekosea sembuse mwanasiasa?!!
 
Kwahiyo unakiri kuwa rc kafanya makosa makubwa sana kuwaona wakosoaji wake kama adui wa serikali!
Mungu mwenyewe anakosolewa sembuse binadamu acheni unyumbu!! Watoto wako mwenyewe umewazaa wanakwambia hapa baba umekosea sembuse mwanasiasa?!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…