Huna la kunitishia bro nitakapo amua kusema ubaya wako sio zana ya matusi mimi ni mtanzania mstaarabu sana naheshimu hisia za watu Sina haja ya kukuchafulia utu lkn siku zijazo jifunze kujibu hoja kwa hoja matusi ni mwiko sio utaratibu wetu watanzania alafu mimi ni mlokole sipendagi lugha chafu