Kwa muda mrefu sasa mkuu wa mkoa wa Dar sijamsikia ni kama zaidi ya wiki 2 na siku hivi. Nini kimempata mkuu huyu maana najua huwa sio kawaida yake kukosekana kwenye media kwa muda mrefu hivi.
Naona na Dada yake mange kasema kuna majanga yamempata japo hajafanunua. Hebu wajuzi wa mambo tupeni information.