Usifanye mchezo na ufisadi.
Wewe uliwahi kumsikia hata mzee vijisenti kwenda likizo Marekani Canada kwa mwezi mzima?
Sasa hivi tunatishwa tusi seme kumbe watu wana piga ma deal tu.
Kuwa mkuu wa mkoa mwaka tu tayari kujichana na 1st class....
GSM foundation wameshaweka foundationn kwake...wana piga ma deal mawaziri kanyaga bao.
Amepiga deal na Tanzania ciggarets kupiga marufuku Shisha..amemtisha mpaka kamanda siro...katika mikwara ya kutisha ili wasiguswe.
Upigaji marufuku shisha ni rushwa kubwa kutoka sigara...
Atarudi hapa kukamata watu wasio fagia jumamosi ..kutucheza shere
Wewe ni mfia chama,mchumia tumbo hujali watu waliobunjiwa Majohe,Mbezi mwisho,wanaolala nje huko Kagera ila tumbo,okay,nakuheshimu na kwa taaluma yangu naomba nisijibizane na wewe!
Wewe ni mfia chama,mchumia tumbo hujali watu waliobunjiwa Majohe,Mbezi mwisho,wanaolala nje huko Kagera ila tumbo,okay,nakuheshimu na kwa taaluma yangu naomba nisijibizane na wewe!
Sehemu zingine kama unawahi kazini na unakuwa wa mwisho kutoka kila siku na na likizo hutaki kwenda "TAKUKURU" wanakuchunguza maana hizo ni dalili za corruption.
... Ni kweli, some years back kulikuwa na mkurugenzi mmoja in one ministry alikuwa na mtindo wa kutoka kazini very late, yaani sometimes mpaka saa nne usiku. Sasa katibu mkuu aluyekuwepo huyo director alikuwa amemuweka mfukoni kwa rushwa. Mungu si Athumani akaja KM mpya, yaani ndani ya wiki moja yule mkurugenzi akachunguzwa na kubainika kwamba ni ufisadi mtupu uliokuwa unaendelea. Pia zaidi ya miaka 5 alikuwa hajaenda likizo, akihofia madhambi yake kuanikwa. Aliishia kupigwa chini.