Paul Makonda na watoto "feki" akwama, aliyesema mtoto wa Lowassa faili lake laanikwa ni kada wa CCM

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Ibara ya 16 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano inasema; "Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na unyumba wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na mawasiliano yake binafsi".

Baada ya huyu mama kujitokeza na kudai ni mtoto wa Lowassa niliamua kumfatilia, nimejaribu kumfatilia kwa ufupi huyu mama, bahati nzuri naishi nae huku Kigamboni namfahamu vizuri sana ni kada mtiifu wa CCM.

Jina lake halisi anaitwa Fatuma Selemani Chikawe, mtu wa Kusini huko Wilaya ya Nachingwea, amekulia Magomeni kwa mjomba wake aitwaye Majuto Yusufu Kamba na maisha yake yalikuwa ya getogeto tu, kwasasa anaishi mtaa wa Ungindoni Kata ya Mjimwema hapa Kigamboni.

Ameolewa na Musa Mwakifambwe mjumbe wa jumuiya ya wazazi CCM mkoa wa Dar na kabla ya kuolewa na huyu kada mwenzake aitwaye Mwakifambwe, alizaa mtoto na bwana ambae anafahamika kama Kibona Ally Pesa mbili wa Gongolamboto.

Wote wawili ni makada watiifu wa CCM, nyaraka za mama huyu zote zinamuonyesha ni Fatuma Selemani Chikawe na sivyo anavyodai. Anaweza kuwa kweli ni mtoto wa Lowassa au laa, hilo halina maana wala sio msingi wa hoja yangu, kwakuwa ndugu zake hao wapo Monduli na Mikocheni tu hapo angesafiri tu na kujitambulisha, waswahili husema mtoto ni baraka.

Hoja kuu ni timing ya jambo hili na inavyoendeshwa kisiasa hapa ndio utata ulipo na lazima kuwepo njia za za haraka za kulikabili, jambo hili halina tofauti na ile misheni ya kudhalilisha watu akina Mbowe, Gwajima, Manji nk, kwa kigezo cha vita ya madawa ya kulevya.

Taarifa zingine za mama huyu zinahifadhiwa kwaajili ya baadae.

Utapeli huu wa CCM na vibaraka wao uishie katika vibaraza vya Lumumba.

Na Yericko Nyerere

Soma: Hatari! Dada aibukia kwa RC Makonda na kudai ametelekezwa na baba yake ambaye ni Mzee Edward Lowassa

Soma: Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua
 
Hiyo hapo sijui itaenda kutua wapi?
tapatalk_1519379278372.jpeg
....
 
Attachments

  • IMG-20180410-WA0134.jpg
    IMG-20180410-WA0134.jpg
    73.5 KB · Views: 158
Wewe mleta mada ndio uliyeleta hili andiko kisiasa

Nje ya siasa wanasiasa ni binaadamu kama mimi na wewe na wanatenda kama yale unayotenda mimi na wewe........

Kwanini jambo baya akilitenda mwanasiasa kwa ubinaadamu inatumika siasa kumlinda sana mwanasiasa huyo......!!?
 
Lowassa na Kikwete walikuwa ni "vipanga" wakati wa ujana nao!

Tatizo lenu mnadhani wanasiasa ni Miungu!

Nenda Dodoma ukajionee yanayofanywa na wanasiasa baada ya vikao vya bunge jioni ili ujifunze kuwa wanasiasa ni binadamu kama wewe kwa maana kuwa "mashine" zao zinafanya kazi katika "mazao" ya aina zote.

Kwani kuwa na mtoto nje ya ndoa ni kosa la jinai?

Kwa nini mnatumia nguvu nyingi kumteteta mwanamme utadhani ninyi ni wake zake?

Hujui kuwa na Lowassa alikuwa kada wa CCM na kwa mantiki hii alikuwa na nafasi nzuri ya kumpata kada mwenzake!

Leo Yericko amekuwa ni mtetezi wa Lowassa wakati kabla ya 2016 alikuwa analeta thread kila siku za kumponda Lowassa?

Hii dunia ni mviringo

Tutasikia na kuona mengi?
 
Lowassa na Kikwete walikuwa ni "vipanga" wakati wa ujana nao!

Kwani kuwa na mtoto nje ya ndoa ni kosa la jinai?

Kwa nini mnatumia nguvu nyingi kumteteta mwanamme utadhani ninyi ni wake zake?

Hujui kuwa na Lowassa alikuwa kada wa CCM na kwa mantiki hii alikuwa na nafasi nzuri ya kumpata kada mwenzake!

Leo Yericko amekuwa ni mtetezi wa Lowassa wakati kabla ya 2016 alikuwa analeta thread kila siku za kumponda Lowassa?

Hii dunia ni mviringo

Tutasikia na kuona mengi?
Hayo unayosema yawezekana. Lakini kwa nini Makonda atumie nafasi ya kiserikali (RC) kutumia wakina mama was Dar kuvunjia heshima watu na kudhalilisha kina mama hao kwa kuwakusanya kwa malengo maovu?
Hili jambo sio LA kunyamaziwa hata kidogo na kama lina baraka za mkuu wa nchi basi ni dhambi isiyo sameheka kabisa!
 
Lowassa na Kikwete walikuwa ni "vipanga" wakati wa ujana nao!

Tatizo lenu mnadhani wanasiasa ni Miungu!

Nenda Dodoma ukajionee yanayofanywa na wanasiasa baada ya vikao vya bunge jioni ili ujifunze kuwa wanasiasa ni binadamu kama wewe kwa maana kuwa "mashine" zao zinaganya kazi katika "mazao" ya aina zote.

Kwani kuwa na mtoto nje ya ndoa ni kosa la jinai?

Kwa nini mnatumia nguvu nyingi kumteteta mwanamme utadhani ninyi ni wake zake?

Hujui kuwa na Lowassa alikuwa kada wa CCM na kwa mantiki hii alikuwa na nafasi nzuri ya kumpata kada mwenzake!

Leo Yericko amekuwa ni mtetezi wa Lowassa wakati kabla ya 2016 alikuwa analeta thread kila siku za kumponda Lowassa?

Hii dunia ni mviringo

Tutasikia na kuona mengi?
Nani kamtetea Lowassa hapo Yericko kaeleza anavyomjua huyo ajuza, hata hivyo sijui lengo la huyo ajuza ni nini kumjua baba yake au kusaidiwa, maana mtu anatambulika ni mtoto akiwa chini ya miaka 18 sasa yeye kaolewa ana mme na watoto kibao anataka asaidiwe kitu gani.
 
Kama CCM ni wapumbavu basi nyinyi ndiyo zaidi ya upumbavu.

Lowassa unayemtetea hapa maisha yake ya kisiasa amejifunza CCM.

Lowassa mpaka sasa akipanda jukwaani anasema CCM Hoyee! Hi inaonyesha fikra zake bado ni CCM.

Sumaye yeye alituambia amejiunga CHADEMA ili kuwafundisha namna ya kuendesha serikali,

Huoni kuwa huu ni zaidi ya upumbavu!
Kwakua siasa alizianzia CCM ndiyo amebatizwa nazo? Kusema CCM hoyeee ni ajali Kama ile ya kusema phont phage
 
Kama CCM ni wapumbavu basi nyinyi ndiyo zaidi ya upumbavu.

Lowassa unayemtetea hapa maisha yake ya kisiasa amejifunza CCM.

Lowassa mpaka sasa akipanda jukwaani anasema CCM Hoyee! Hi inaonyesha fikra zake bado ni CCM.

Sumaye yeye alituambia amejiunga CHADEMA ili kuwafundisha namna ya kuendesha serikali,

Huoni kuwa huu ni zaidi ya upumbavu!
Nimetaja hadi mume na watoto ulitakiwa kusema huyo mtoto mama yake ni nani cheti cha kuzaliwa kiko wapi. Haya dhihirisha
 
Lowassa na Kikwete walikuwa ni "vipanga" wakati wa ujana nao!

Tatizo lenu mnadhani wanasiasa ni Miungu!

Nenda Dodoma ukajionee yanayofanywa na wanasiasa baada ya vikao vya bunge jioni ili ujifunze kuwa wanasiasa ni binadamu kama wewe kwa maana kuwa "mashine" zao zinaganya kazi katika "mazao" ya aina zote.

Kwani kuwa na mtoto nje ya ndoa ni kosa la jinai?

Kwa nini mnatumia nguvu nyingi kumteteta mwanamme utadhani ninyi ni wake zake?

Hujui kuwa na Lowassa alikuwa kada wa CCM na kwa mantiki hii alikuwa na nafasi nzuri ya kumpata kada mwenzake!

Leo Yericko amekuwa ni mtetezi wa Lowassa wakati kabla ya 2016 alikuwa analeta thread kila siku za kumponda Lowassa?

Hii dunia ni mviringo

Tutasikia na kuona mengi?
Nimeguswa na hapo mwishoni uliposhangaa Yeriko kumtetea Lowasa kipindi hiki! Hakuna cha ajabu ndugu, kwa kuwa hata wewe sasa hivi unamtetea Slaa, Lipumba, Kafulila, Shonza, Kitila na hata siku Lema akija huko utamtetea tu! Kuhusu huyo mama kama kweli ni mtoto wa EL akajitambulishe Monduli amsaidie mzee kufuga.
 
Back
Top Bottom