Jimbo gani analitaka??Kick za ubunge hizi kwa kaasii analivutia jimbo
RC Makonda wew ni kijana wa mfano kwa sasa, umeonyesha kufanya mengi mazuri.
Kwa hili la bodaboda ebu tafakali kwanza na jaribu kupata mawazo ya wadau hasa Polisi na raia kwa ujumla. hata sisi tunafurahi kuwepo kwa bodaboda maana ni ajira pia zinalahisisha usafiri, bodaboda ni ajira kwa vijana wengi lakini lazima tuangalie changamoto za ajira hii kwa umakini zaidi..
Boda boda kwa makusudi wameuwa watu kwa umoja wao, wanashiriki katika matukio ya uhalifu, wanajeshi lao na wanajiona kuwa wako juu ya sheri, hawataki kufuata sheria. Kwa hiyo kutafuta namna ya kuwaongeza jijini ni kuhatalisha maisha ya wakazi wa Dar.
Kutaka kuongeza bodaboda jiji la Dar esalaam ni kuongeza matatizo kwa raia na pia ni kuwaita vijana walioko vijijini na miji mingine midogo kuja dar. Hii hali itaongeza population dar na baadhi ya matendo mabaya kuongezeka.
Ni vyema sasa ujitahidi kuziondoa pikipiki jiji la dar na sio kuziongeza, tafuta namna ya kuwasaidia vijana kwa njia nyingine na siyo hii ya bodaboda.
Kina watu wanawehuka bado vijana....ngoja tuoneanasema atawapa mikopo ya bodaboda kwa marejesho ya tsh 2500 kwa wiki... kwa maana hiyo kila kijana anayetaka kupata bodaboda atapata..kitakachofuata sijui..
Ifahamike boda boda sio ajira ila ni kazi ya kuwawahisha watu kwenye ajira zao! Kazi hii inatakiwa kufanywa na chombo kimoja cha usafiri! (Maana yake kuboresha usafiri wa umma) hivyo hawa vijana Walitakiwa wawe na kazi za kufanya! Hivyo kiuchumi boda boda na kucheza pool table hakuna tofauti ila wanasiasa wamejitoa uelewa
Kumbe hadi wacheza pooltable wanapeleka hesabu jioni kwa bosi waoIfahamike boda boda sio ajira ila ni kazi ya kuwawahisha watu kwenye ajira zao! Kazi hii inatakiwa kufanywa na chombo kimoja cha usafiri! (Maana yake kuboresha usafiri wa umma) hivyo hawa vijana Walitakiwa wawe na kazi za kufanya! Hivyo kiuchumi boda boda na kucheza pool table hakuna tofauti ila wanasiasa wamejitoa uelewa
anasema atawapa mikopo ya bodaboda kwa marejesho ya tsh 2500 kwa wiki... kwa maana hiyo kila kijana anayetaka kupata bodaboda atapata..kitakachofuata sijui..
Kick za ubunge hizi kwa kaasii analivutia jimbo
Mwache ajidanganye! Hivi hajasikia Ma-DC wanavyotimuliwa kwenye mabaraza ya madiwani maana wao siyo wajumbe! Hata yeye siyo mjumbe hivyo hakika atakuwa anasikia tu kwamba leo meya wa jiji anagawa hela ya mikopo bila yeye kujua! Hii ndo shida ya vijana wakipewa madaraka makubwa! Ukuu wa mkoa wapewe watu ambao ni wakomavu kiakili na kimwili!Eti ndo anasema UKAWA hawana chao Dar. Yeye ndo Rais wa jiji na mkoa wa Dar. Hawawezi kuamua chochote bila yeye kukipitisha. Hivi halmashauri zinaongozwa kwa matakwa ya huyu Makonda au kwa mujibu wa sheria za serikali za mitaa? Na je, kila kitakachojadiliwa na kupitishwa na baraza la madiwani lazima kipitishwe na Makonda?
Eti analitaka jimbo la Ubungo!Jimbo gani analitaka??
nami sijuianasema atawapa mikopo ya bodaboda kwa marejesho ya tsh 2500 kwa wiki... kwa maana hiyo kila kijana anayetaka kupata bodaboda atapata..kitakachofuata sijui..