RC Makonda kujenga mahakama 20

luirhu

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
718
500
Serikali ya mkoa wa DSM kujenga Mahakama za mwanzo zipatazo 20 katika mkoa wa DSM. Hongera sana!

Hatua hiyo itapunguza mlundikano wa kesi na pia itarahisisha na kusogeza huduma za kimahakama karibu na wananchi, hii ni hatua muhimu sana ktk kufikia maendeleo na amani ktk mkoa wa DSM.

RC Makonda kumbuka kuna Wilaya mpya mbili; Ubungo na Kigamboni ambazo zina hitaji majengo ya Mahakama ya Wilaya ambazo ni muhimu sana sana.

Kumbe inawezekana!!!!!!

hakika Makonda ni mfano mzuri wa kuigwa na wakuu wa mikoa wengine.
 
kindafu

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,178
2,000

Mahakama ni muhimu na vituo vya polisi pia ni muhimu, ila fedha zinatoka wapi? Uwazi wa vyanzo vya hizi fedha ni muhimu kuepuka utakatishaji wa fedha na kurahisisha ukaguzi wa hesabu za serikali ya mkoa wa Dsm.
 
Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,897
2,000
Mara walimu kubanda daladala bure, shisha, ushoga, ukahaba, vijana kurudishwa vijijini leo mengine tena.....Kwani hayo mengine yamekamilika.???
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,916
2,000
Mi nafikiri wakati wa kuachana na ujinga wa propaganda uishe sasa. Hii mbinu inayotumiwa na serikali kutosema ukweli kwa lengo la kumpaisha Makonda sijui ni ya nini.
Mahakama za mwanzo zinazojengwa Dar na mikoani fedha zake zilipitishwa bunge la bajeti na Mwakyembe alilitolea maelezo. Iweje leo eti Makonda kujenga mahakama iwe kama ndiye ame initiate jambo hilo? Acheni hizo, Dar ccm hata mfanyeje sio yenu tena
 
mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
963
1,000
Siasa nying na kampen, Dar kuna mkono wa mwenye nchi, hela zinachukuliwa tu hata bila kufata bajet ya mwaka, zawadi zote zitolewazo ni kampen za ccm kupitia kwake makonda!
 
Macos

JF-Expert Member
May 12, 2008
1,936
2,000
Nguvu ya sigara TCC V/S Shisha.
Shisha imepogwa knock out.
Sasa hata siro kimyaaaaaaaa....ulaji huo sio wa kawaida
 
Mbulu

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
5,499
2,000
Jamaa yupo fasta na mkuu anampendea hilo tu, vituo vya polithi tayari sasa maha...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom