RC Makonda jitokeze kwenye media kwa mahojiano

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Ujitokeze ima Clouds, Azam au hata TBC1 Upambanue mambo mbalimbali. Ni zamu yako sasa kujieleza. Jiandae kwa haya:

-Dar es Salaam kushika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne
-Tuhuma za kumiliki mali ambazo haziendani na kipato chako
-Tuhuma ya kuwa wewe ni mtoto
-Kushindwa kwa operesheni zako mbalimbali ulizozianzisha kama vile machangudoa,ombaomba, kupaka rangi nyumba za Dar na kadhalika.
-Tuhuma ya kuwa umempangia nyumba kimada uliyekwepa kumtaja kwenye watumiaji na wahusika wa mihadarati

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Ajitokeze hata hapa JF aandike moja baada ya nyingine ..
 
Kwa jinsi alivyo mweredi sana wa mambo yote ya nchi hii atajitokeza bila wasi wasi wowote vuteni subira au mpelekee rasmi barua ya wito kwa wale wenye contacts zake.
 
Hilo swali kuwa ni mtoto itabidi kabla ya kumuuliza avalishwe mask ili kumlindia heshima ya utu wake sio kama yeye alivyo fanya kwa wale watoto
 
Alifikiri anacheza na wenzake! Hana maadili ya uongozi, hataki kujifunza, hataki kukosolewa, anafikiri kila kitu anajua.
 
Ujitokeze ima Clouds, Azam au hata TBC1 Upambanue mambo mbalimbali. Ni zamu yako sasa kujieleza. Jiandae kwa haya:

-Dar es Salaam kushika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne
-Tuhuma za kumiliki mali ambazo haziendani na kipato chako
-Tuhuma ya kuwa wewe ni mtoto
-Kushindwa kwa operesheni zako mbalimbali ulizozianzisha kama vile machangudoa,ombaomba, kupaka rangi nyumba za Dar na kadhalika.
-Tuhuma ya kuwa umempangia nyumba kimada uliyekwepa kumtaja kwenye watumiaji na wahusika wa mihadarati

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mbuutanangaa[emoji87] [emoji86] [emoji188] [emoji188]
 
Asije akakufukuza Dar bila hata NDALA yaani viatu ambavyo mwisho wake utani/Chooni/bafuni
 
Back
Top Bottom