RC Makonda, Dar ni jiji la wote, vyama vyote. Mbowe sio mwanasiasa uchwara aliyefilisika, Zitto sio mshirikina. Tunakupenda, heshimu wote uheshimiwe

Mbowe akimuita RC makonda mkuu wa mkoa Uchwara ujue usiku Daud Bashite hatalala akipanga namna ya kumkomoa kumbambikia kesi atakaa vikao hata 1000 na DPP wabuni hata kesi ya uhujumu uchumi afungwe,

Tatizo kubwa la Daud Bashite ni marafiki na washauri wake aliowachagua, le mutuz kubwa jinga na cyprian Musiba akina mwana FA eti ndiyo washauri wa Daud Bashite unategemea nini hapo?
 
Ninachompendea Mzee Baba hana rafiki wa kudumu ...
Hakika nawaambieni iko siku huyu bashite huyu atatolewa kafara na Baba mchana kweupee ili kupata mileage zake za kisiasa ...!!
Mda hausemi uongo ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Daud Bashite ana siri nyingi zikiwemo za kumshambulia Tundu lisu,Udalali ununuzi wa Ndege wana kampuni zao za pamoja kwenye ujenzi wa Reli madaraja uwanja wa Ndege chato Dodoma, umeme mbugani ni vigumu kwa mtukufu magufuli kumtumbua
 
Sio gundu mkuu..alichokiongea Ndio kipimo Cha mtu mpumbavu asiye na akili na mara nyingi watu wanaotoa kauli za namna hii huwa ni kwa ajili ya kuwafurahisha mabwana zao na sio kingine
Daud Bashite hana vyeti na washauri wake wakuu ni Le mutuz kubwa jinga cyprian Musiba unategemea nini hapo?
 
Leo kwa kweli umekuwa smart umeamua kumkosoa Bashite bila uoga lakini ukae chonjo mda na saa yeyote atakubambikia kesi upotelee jela
 
Pascal Mayalla,
Pascal hapo naomba mie unitoe aisee, kwanza sio mwananchi wake mie, maana nimeanza kuwa mwananchi wa jiji hili la Dar wakati huo Bashite hata hajajulikana kama atazaliwa.. Pia simpendi wala kumkubali hata kidogo kama mkuu wa mkoa..

Mapungufu yake ni mengi mno, kuliko uwezo wake.. Pia simuheshimu hata kidogo, maana yeye heshima hana hata chembe.. Na Mwisho wala simuombi ajiheshimu maana hiyo sio hulka yake ya kujiheshimu.. Ibilisi ni ibilisi tu, hawezi kuwa Malaika hata siku moja..
 
Huyu mtoto ana kiburi cha kutimiza ndoto kwa bahati ya hila zenye harufu ya dhambi ya damu na unafiki uliopindukia ambao siku zote hulipwa na KARMA yenye ghadhabu kulingana na mkubwa wa kiburi chako

It's a matter of time ... walikuwepo wenye kiburi zaidi yake mara elfu 10 leo wakowapi wao na familia zao

Tunamsubiri kwa wakati wake kikubwa uhai tu natamani sana kushuhudia mwisho wa anguko lake kwa sababu nina imani kwa 99% hatokua na mwisho mwema yeye na familia yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom