Weka picha tuhakikiUwanja unaendelea kujengwa Dodoma mbona.
Sqm million tano Dar es Salaam?? Viwanda 200 Dar es Salaam? Wanajenga viwanda Kunduchi?
Wawekezaji wanaenda kuwekeza Tanga wanapokelewa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam??
Huyu jamaa mbona anapewa promo kuliko hata mawaziri waandamizi!?
Nanyie acheni kubeza zuhudi za wenzenu ni juzi tu mikataba imesainiwa alafu leo hii unataka uone viwanda tayari vinafanya kazi? Sisi tumekaa tangu tupate uhuru miaka zaidi ya 50 hatujaweka viwanda alafu unalaumu wenzio walioleta wazo la viwanda miaka miwili tu iliopita? Tutakalia kubeti tu pesa ya chapchapHizi drama tu kama bongo movie lakini hakuna lolote la maana.
Hivi zile mikataba kibao za yule Mmorocco walizosainigi serikali ukiwamo uwanja mkubwa wa michezo Dodoma zilifiaga wapi?
Alikujaga hapa rais wa China tukaambiwa serikali imetiliana saini makubaliano ya mikata kibao kama 21 ya maendeleo, nayo ilifiaga wapi?
Alikujaga Obama na yeye wakasaini mikataba kibao na serikali, nayo ilijifiaga wapi?
Kila viongozi wa nchi mbalimbali wakija hapa nchini huja na makubaliano ya kusaini mikataba kibao lakini mwisho wa siku hakuna linalofanyika nyuma yake.
Unatunza kumbukumbu na ile anataka pilau la ramadhaniHuyuhuyu hakuna kitu asichoweza kukiangalia bila kujaribu...ispokuwa
Alishindwa kujaribu ile kitu ile siku ya kusajili.
Hapo sasa ......... na Waziri Mkuu wa Ethiopia na Cargo Hub Tanga .............!!Hizi drama tu kama bongo movie lakini hakuna lolote la maana.
Hivi zile mikataba kibao za yule Mmorocco walizosainigi serikali ukiwamo uwanja mkubwa wa michezo Dodoma zilifiaga wapi?
Alikujaga hapa rais wa China tukaambiwa serikali imetiliana saini makubaliano ya mikata kibao kama 21 ya maendeleo, nayo ilifiaga wapi?
Alikujaga Obama na yeye wakasaini mikataba kibao na serikali, nayo ilijifiaga wapi?
Kila viongozi wa nchi mbalimbali wakija hapa nchini huja na makubaliano ya kusaini mikataba kibao lakini mwisho wa siku hakuna linalofanyika nyuma yake.
Ongezea na yule waziri mkuu wa India alikujaga bongo wakasaini mikataba kibao + wakulima wakaambiwa walime mbaazi kuna soko la uhakika...matokeo yake mwaka jana India wamegoma kununua mbaazi yetuHizi drama tu kama bongo movie lakini hakuna lolote la maana.
Hivi zile mikataba kibao za yule Mmorocco walizosainigi serikali ukiwamo uwanja mkubwa wa michezo Dodoma zilifiaga wapi?
Alikujaga hapa rais wa China tukaambiwa serikali imetiliana saini makubaliano ya mikata kibao kama 21 ya maendeleo, nayo ilifiaga wapi?
Alikujaga Obama na yeye wakasaini mikataba kibao na serikali, nayo ilijifiaga wapi?
Kila viongozi wa nchi mbalimbali wakija hapa nchini huja na makubaliano ya kusaini mikataba kibao lakini mwisho wa siku hakuna linalofanyika nyuma yake.
Huu utani sasa hizi fedha mbona kidogo sana200 industries, kwa $ 3 bil tu..?? Ebu weka maelezo vizuri..
China angetusaidia kwenye migodi ya mkaa wa mawe na ufuaji wa umeme toka kwenye mkaa wa mawe.
Lakini ingependeza zaidi China kujikita kwenye Heavy Industries kama kufua chuma yaani iron ore na mazao yake.
Ili nchi iwe ya viwanda chuma na mkaa wa mawe havikwepeki.Matumizi ya chuma na mazao ya chuma ndio haswa nguzo kuu ya viwanda.
Lakini jambo la kushangaza kuna sintofahamu ya NDC alietumia pesa zetu zaidi ya miaka 40 tokea enzi za Mwl.Nyerere hakuwai kujenga kiwanda cha iron ore.Labda tupimwe mkojo tunamatatizo.
Average of $15m per INDUSTRY......unafikiri dola 15m ni kidogo?200 industries, kwa $ 3 bil tu..?? Ebu weka maelezo vizuri..