Mrangi from Gairo; ongea na ndugu zako hapo Gairo waache kuuza madini feki aisee.Viwanda vinaendeleaaa kujengwa Kwa Maneno tu....
Mrangi from gairo
Ova
Hahaha mkuu ushapigwa nn vp ulingia mkenge Kwa kina kawawa huku is sahv hawana tena style hzo washashtukiwa labda Mgeni UkiwaMrangi from Gairo; ongea na ndugu zako hapo Gairo waache kuuza madini feki aisee.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda Alhamisi hii amekutana na ugeni wa wawekezaji kutoka China kujadilia na kuhusu mambo ya uwekezaji ambapo zaidi ya viwanda 200 vinatarajiwa kujengwa. RC Makonda akiwa na wawekezaji hao.
Akingumza jijini Dar es Salaam leo, RC Makonda amesema miongoni mwa lengo kuu la kutembelewa na ugeni huo ni kuhakikisha mkoa wa Dar es salaam unakuwa kuwa na uwekezaji mkubwa katika kuelekea Tanzania ya viwanda.
Wawekezaji hawa wanakwenda kuwekeza Tanga na kunduchi Dar es Salaam na Wana wekeza miradi yenye thamani ya Dola bilioni 3. Aidha amewataka wanachi wa mkoa huo kuchangamkia fursa za uwekezaji. “Sisi kazi yetu kama serikali ni kuweka mazingira ya uwekezaji na hawandugu zetu wametoka jimbo la nilizungumza nao nilipotembelea huko kwao mwakajana”Amesema Makonda.
“Naamini kwamba Rais Magufuli na RC MAKONDA watatupa kipaumbele Katika uwekezaji wetu kutokana na uhusiano mzuri uliopo naona ya nchi zetu hizi mbili”.Amesema Xiezengyi Wachina hao wanatarajia kuwekeza Katika Mkoa wa Tanga na kuungamisha biashara zao na viwanda Kiwanda cha kunduchi ili mkoa wa Dar es salaam uweze kunufaika na uwekezaji huo wenye thamani ya dola za kimarekani Bilion Tatu.
Pamoja na hayo Makonda ameeleza kuwa Kuna clip ina zungunguka mtandaoni ikieleza kuwa Ethiopia kuwa Wana kiwanda kikubwa zaidi kuliko nchi zote barani Afrika na kusema kuwa wananchi wasihofu kwani Dar es Salaam itajenga kiwanda kikubwa zaidi ya mara tatu ya hicho chenye Siguare mita Milion Tano na uwekezaji huu utafanyika wilayani Kigamboni. “Kuna mwekezaji mwingine ameonyesha nia ya kuwekeza kiwanda cha sukari Nawaomba wafanyabiashara wetu mchangamkie fursa hizo za kibiashara na vijana pia mchangamkie fursa za ajira” Amesema Makonda.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa jimbo la Gwangzou , Xie zhenghy kutoka China amesema wao wako tayari kwa uwekezaji na katika nchi ambazo zitaendana kiutamaduni kama ilivyo kwa Tanzania. Hata hivyo amesema kuwa China imekuwa na nafasi kubwa ya kuwekeza barani Afrika amekuwa na uwekezaji mkubwa nchini Misri.
Nashauri,tuweke sera ya viwanda inayoeleweka kwanza. Tusipofanya hivyo,kila anayejisikia apokee tuu wawekezaji kama sifa,tutagota mahali. Tutajikuta hata mishumaa ya kopo wanayotengeneza wamachinga,Wachina ndo wanashobokea!Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda Alhamisi hii amekutana na ugeni wa wawekezaji kutoka China kujadilia na kuhusu mambo ya uwekezaji ambapo zaidi ya viwanda 200 vinatarajiwa kujengwa. RC Makonda akiwa na wawekezaji hao.
Akingumza jijini Dar es Salaam leo, RC Makonda amesema miongoni mwa lengo kuu la kutembelewa na ugeni huo ni kuhakikisha mkoa wa Dar es salaam unakuwa kuwa na uwekezaji mkubwa katika kuelekea Tanzania ya viwanda.
Wawekezaji hawa wanakwenda kuwekeza Tanga na kunduchi Dar es Salaam na Wana wekeza miradi yenye thamani ya Dola bilioni 3. Aidha amewataka wanachi wa mkoa huo kuchangamkia fursa za uwekezaji. “Sisi kazi yetu kama serikali ni kuweka mazingira ya uwekezaji na hawandugu zetu wametoka jimbo la nilizungumza nao nilipotembelea huko kwao mwakajana”Amesema Makonda.
“Naamini kwamba Rais Magufuli na RC MAKONDA watatupa kipaumbele Katika uwekezaji wetu kutokana na uhusiano mzuri uliopo naona ya nchi zetu hizi mbili”.Amesema Xiezengyi Wachina hao wanatarajia kuwekeza Katika Mkoa wa Tanga na kuungamisha biashara zao na viwanda Kiwanda cha kunduchi ili mkoa wa Dar es salaam uweze kunufaika na uwekezaji huo wenye thamani ya dola za kimarekani Bilion Tatu.
Pamoja na hayo Makonda ameeleza kuwa Kuna clip ina zungunguka mtandaoni ikieleza kuwa Ethiopia kuwa Wana kiwanda kikubwa zaidi kuliko nchi zote barani Afrika na kusema kuwa wananchi wasihofu kwani Dar es Salaam itajenga kiwanda kikubwa zaidi ya mara tatu ya hicho chenye Siguare mita Milion Tano na uwekezaji huu utafanyika wilayani Kigamboni. “Kuna mwekezaji mwingine ameonyesha nia ya kuwekeza kiwanda cha sukari Nawaomba wafanyabiashara wetu mchangamkie fursa hizo za kibiashara na vijana pia mchangamkie fursa za ajira” Amesema Makonda.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa jimbo la Gwangzou , Xie zhenghy kutoka China amesema wao wako tayari kwa uwekezaji na katika nchi ambazo zitaendana kiutamaduni kama ilivyo kwa Tanzania. Hata hivyo amesema kuwa China imekuwa na nafasi kubwa ya kuwekeza barani Afrika ambapo imekuwa na uwekezaji mkubwa nchini Misri.
Ni vyema tuwe na utaratibu,tusishindane kusomba wachina kwa sifa ilihali vijana wetu wako majumbani na wans elimu ya kutosha. Hii kitu sijaipenda sana. Wachina siyo watu wa kuzoea sana. Watueleze vizuri ni watz wangapi wataajiriwa ktk hivyo viwanda vyao,na ktk level gani?Mtu yeyote anaweza chochea sera ta viwanda hata wewe ndugu.
Mhmm! Mkuu umeishaje bila vyeti?hapa kazi tu...issue ya bashite imeshaisha sasa ni kazi juu ya kazi...le kamando
Hakuwepo alienda kututafutia wawekezaji si mmeanza kuona matunda ya ziara zake akipiga kama kumi za manufaa kama hizo tutakuwa mbali.Zitasaidia ajira.Kwa hayo ni haki kupongezwa.Haya ila alipotea magazetini
Mmewekee Picha ndo aamini,wengi ni TomasoUwanja unaendelea kujengwa Dodoma mbona.
Huyuhuyu hakuna kitu asichoweza kukiangalia bila kujaribu...ispokuwa
Alishindwa kujaribu ile kitu ile siku ya kusajili.
Ngoma mbili ki WONDER itapendeza!
Hivi hiyo simu hapo juu ya cherehani ni yake?! Kama ni yake basi itanibidi na mimi nijifunze kubana matumizi.
Tunawakaribisha sana hao wewekezaji, lakini isije ikawa wanakuja na vyerehani 800. Maana hivi pia vinaweza kumaanisha vianda 200. Na kile kiwanda kikubwa kinachojengwa kigamboni tunakikaribisha sana. Ila kuwe na mikakati kabambe kisije geuzwa kuwa go-down na sehemu ya kutunzia mbuzi.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda Alhamisi hii amekutana na ugeni wa wawekezaji kutoka China kujadilia na kuhusu mambo ya uwekezaji ambapo zaidi ya viwanda 200 vinatarajiwa kujengwa. RC Makonda akiwa na wawekezaji hao.
Akingumza jijini Dar es Salaam leo, RC Makonda amesema miongoni mwa lengo kuu la kutembelewa na ugeni huo ni kuhakikisha mkoa wa Dar es salaam unakuwa kuwa na uwekezaji mkubwa katika kuelekea Tanzania ya viwanda.
Wawekezaji hawa wanakwenda kuwekeza Tanga na kunduchi Dar es Salaam na Wana wekeza miradi yenye thamani ya Dola bilioni 3. Aidha amewataka wanachi wa mkoa huo kuchangamkia fursa za uwekezaji. “Sisi kazi yetu kama serikali ni kuweka mazingira ya uwekezaji na hawandugu zetu wametoka jimbo la nilizungumza nao nilipotembelea huko kwao mwakajana”Amesema Makonda.
“Naamini kwamba Rais Magufuli na RC MAKONDA watatupa kipaumbele Katika uwekezaji wetu kutokana na uhusiano mzuri uliopo naona ya nchi zetu hizi mbili”.Amesema Xiezengyi Wachina hao wanatarajia kuwekeza Katika Mkoa wa Tanga na kuungamisha biashara zao na viwanda Kiwanda cha kunduchi ili mkoa wa Dar es salaam uweze kunufaika na uwekezaji huo wenye thamani ya dola za kimarekani Bilion Tatu.
Pamoja na hayo Makonda ameeleza kuwa Kuna clip ina zungunguka mtandaoni ikieleza kuwa Ethiopia kuwa Wana kiwanda kikubwa zaidi kuliko nchi zote barani Afrika na kusema kuwa wananchi wasihofu kwani Dar es Salaam itajenga kiwanda kikubwa zaidi ya mara tatu ya hicho chenye Siguare mita Milion Tano na uwekezaji huu utafanyika wilayani Kigamboni. “Kuna mwekezaji mwingine ameonyesha nia ya kuwekeza kiwanda cha sukari Nawaomba wafanyabiashara wetu mchangamkie fursa hizo za kibiashara na vijana pia mchangamkie fursa za ajira” Amesema Makonda.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa jimbo la Gwangzou , Xie zhenghy kutoka China amesema wao wako tayari kwa uwekezaji na katika nchi ambazo zitaendana kiutamaduni kama ilivyo kwa Tanzania. Hata hivyo amesema kuwa China imekuwa na nafasi kubwa ya kuwekeza barani Afrika ambapo imekuwa na uwekezaji mkubwa nchini Misri.
hii kitu mnaijengea dharau bure lakini kuna miji inaajiri watu wengi sana mfano mzuri dodoma pita maeneo ya sabasaba, kwa sango barabara ya 8,9,11 na nje ya mji kama kizota nkuhungu na minadani ni wengi kuliko wanapika keki na chakula cha sherehe