Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,588
- 28,752
Sio jambo baya issue na anazifungaje, ina maana kuna fungu la ufungaji taa kwa Mkuu wa Mkoa?
Hata mkibadilishwa ubongo bado hamtaacha kuhangamia kwa starehehuyu meya wa dar sijui anafanyakazi gani tangu aapishwe hasikiki kabisa, safi sana makonda ikifika saa mbili ni mwendo wa kufunga barabara na kutandaza viti vya coca cola na tbl kinywaji kwa kwenda mbele,
Bwana Kabila01, sijawahi kukariri katika maisha yangu. Nilichouliza ni anazifungaje? Taarifa haijasema atamobilize resources. Wewe ndio unamjibia au unampa wazo? Na hilo wazo la harambee amelisema yeye au wewe? Mimi sipo kisiasa humu napenda kufahamu means ya utekelezaji. Wewe unaongea resource mobilizatio what is resource mobilization anyway? Which resources are to get mobilized by the Mkuu? What are the priorities maana sifahamu kama la Walimu limeshakamilika tunaenda kwenye lingine. Usirukie baiskeli kwa mbele.kuna njia nyingi za kupata pesa kwa nafasi yake msikariri. anaweza kufanya resource mobilization kwa njia tofauti kuliko mnavyofikiri kwa kutegemea bajeti ya serikali. anaweza kuitisha harambee na watu wakachangia
UlinziSasa na umeme wetu usiokuwa na uhakika itakuwaje pia?
Bwana Kabila01, sijawahi kukariri katika maisha yangu. Nilichouliza ni anazifungaje? Taarifa haijasema atamobilize resources. Wewe ndio unamjibia au unampa wazo? Na hilo wazo la harambee amelisema yeye au wewe? Mimi sipo kisiasa humu napenda kufahamu means ya utekelezaji. Wewe unaongea resource mobilizatio what is resource mobilization anyway? Which resources are to get mobilized by the Mkuu? What are the priorities maana sifahamu kama la Walimu limeshakamilika tunaenda kwenye lingine. Usirukie baiskeli kwa mbele.
Unakesha muda wote JF halafu unasema huna muda nyambafaisee huu ni msaada kwa sisi ambao hatuna muda wa kufanya manunuzi mchana
Mwambie Ole wao waufanyao ucku kuwa mchanaMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema ameanza kufunga taa katika barabara zote za Jiji ili kusaidia biashara kufanyika hadi usiku.
Makonda alieleza mkakati huo wakati akizungumza na Jumuiya ya Wafanyabishara Tanzania (JWT) katika mkutano wao wa mwaka uliojumuisha wafanyabiashara kutoka mikoa yote nchini.
Makonda ambaye ni mmoja wa wakuu wa mikoa walioapishwa na Rais John Magufuli kushika wadhifa huo Machi 15, alisema lengo la kufunga taa ni kuwezesha biashara hadi usiku na kutekeleza kwa vitendo dhana ya Jiji hilo kuwa la kibiashara.
Matukio ya uvamizi wa wafanyabiashara katika sehemu zao usiku kutoka ama kwa majambazi au vikundi vya uporaji kama Panya Road, yamekuwa yakifanya maduka mengi kufungwa mapema jijini.
“Juzi usiku nilifanya ziara ya kukagua taa za barabarani, jambo la kushangaza nilikuta sehemu kubwa ya mji ikiwa ni giza," alisema.
"Hivyo tumeshaanza kufunga taa katika maeneo yote ili kulipendezesha Jiji lakini pia wafanyabishara wafanyebiashara hadi usiku.”
Alisema wafanyabishata walimueleza kuwa wamekuwa wakishindwa kufanya biashara hadi usiku kwa sababu ya kukosa mwanga wa kutosha na kutokuwepo na usalama wa mali zao.
“Ni jambo la aibu wafanyabishara wa Kariakoo wanashindwa kufanya biashara zao hadi usiku… wanalazimika kufunga jioni wakati kuna watu wanatoka kazini usiku na wanataka kununua bidhaa.”
Makonda alisema changamoto zote ameanza kuvifanyia kazi na kwamba atatumia askari polisi zaidi ya 300 wa jiji kulinda usalama wa raia na mali zao.
Source: Makonda aimarisha biashara za usiku | Latest News, Sports, Business, Entertainment, Features, Columnist | IPPMEDIA