RC Makonda aagiza Takukuru kumkamata DED na Watendaji wake wanaotuhumiwa kwa Ufisadi wa tsh million 19 mara Moja na wasirudi Ofisini!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,660
145,432
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo

Aidha RC Makonda amepiga Marufuku tabia ya maafisa wa TRA kupeleka Demand Notice za madai ya Kodi wakiwa wameambatana na Vikosi vya polisi

Arusha kumeshakucha
 
Natamani viongozi hao wasiwepo maeneo mengine ambapo Makonda hayupo. Au pengine kama wapo wawe wanashughulikiwa ili wenye haki zao wazipate
 
Back
Top Bottom