Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Kutokana na kukosekana kwa stendi ya mabasi katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James Ameiagiza Halmashauri hiyo kuhakikisha kuwa baada ya miezi miwili stendi za mabasi zinaanza kufanya kazi katika maeneo yaliyotengwa.
Mhe. Kheri ametoa maagizo hayo Julai 18,2025. Wakati wa ziara yake ya kuzungumza na watumishi wa Halmashuri hiyo.
Mhe. Kheri ametoa maagizo hayo Julai 18,2025. Wakati wa ziara yake ya kuzungumza na watumishi wa Halmashuri hiyo.