GE2025 RC Kanali Evans Alfred: Bajeti ya Ujenzi Mkoa wa Mara imeongezeka kutoka TZS7bn mwaka 2020 hadi TZS245bn, bajeti ya TARURA imeongezeka mara 4

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

John John Msakuzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
279
Reaction score
99
1754909070416.png

==
Chini ya Rais Samia, bajeti ya TARURA Mkoa wa Mara imeongezeka kutoka shilingi bilioni 6.92 mwaka 2020/2021 hadi bilioni 25.71 mwaka 2024/2025, ikisaidia kufungua barabara mpya, kukarabati za zamani na kuwezesha upitishaji wa barabara misimu yote kwa asilimia 72.7.

TANROADS imetekeleza miradi ya barabara za kimkakati ikiwemo Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio (km 56.4, bilioni 67.89), Makutano Juu-Nyamuswa-Ikoma Gate (km 50, bilioni 60), na Tarime-Mugumu (km 25, bilioni 34) ambapo ujenzi umeshafikia asilimia 56.

Mradi wa ukarabati na upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Musoma unaendelea kwa gharama ya bilioni 35 na umefikia asilimia 58, utakapokamilika utaongeza ukuaji wa sekta ya utali.

Aidha, ujenzi wa mzani wa kupima magari eneo la Rubana, Wilaya ya Bunda, umekamilika kwa gharama ya bilioni 22.3, kusaidia usimamizi bora wa usafirishaji wa mizigo na usalama barabarani. Haya yote ni sehemu ya jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha miundombinu na kuendeleza uchumi wa Mkoa wa Mara.

MradiMaelezo Mafupi2020|2021 (Billion TZS)2024|2025 (Billion TZS)Takwimu|Maendeleo
Bajeti ya TARURABajeti ya Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini Mkoa wa Mara6.9225.71Bajeti imeongezeka kusaidia kufungua na kukarabati barabara, upitishaji barabara msimu wote kwa 72.7%
Bajeti ya TANROADSUjenzi wa barabara za kimkakati--Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio (km 56.4) - Bilioni 67.89 (kamilika)
Makutano Juu-Nyamuswa-Ikoma Gate (km 50) - Bilioni 60 (awamu ya kwanza kamilika)
Tarime-Mugumu (km 25) - Bilioni 34 (ujuzi 56%)
Mradi wa Uwanja wa NdegeKukuza na kupanua Uwanja wa Ndege wa Musoma-35.00Mradi umefikia asilimia 58, unaongeza ukuaji wa sekta ya utalii
Mzani wa Kupima MagariUjenzi wa mzani wa kupima magari katika eneo la Rubana, Wilaya ya Bunda-22.30Mradi umekamilika kusaidia usimamizi wa usafirishaji mizigo na usalama barabarani
1754909532290.png
 
View attachment 3438344

View attachment 3438347
Hongera Tanzania yangu
 
Hongera sana
 
Back
Top Bottom